Kuelewa hoja za Kigwangalla inabidi uwe unaufahamu wa control systems za uhasibu na auditing processes.
Kwa hili ana hoja za msingi na ameonewa ukisikiliza maelezo yake tu, binafsi naona matatizo yake binafsi na Mkenda wayamalize kwenye vikao vyao huko Lumumba majungu ndio hulka ya wana ccm tushawazoea wote wanafiki tu.
Ila on proffesionalism kwa watu makini kama auditor anaweza andika report kwa ushawishi wa mtu mwingine na ndio chombo kinachotegemewa ni mbaya sana.
An auditor report ikishakoselewa aikuwa independent inatakiwa kazi iliyofanyika ichunguzwe na ifutwe mara moja ikibainika kweli aikuwa independent. Uwezi tumia hiyo report its compromised na auditors husika inabidi kuchukuliwa hatua na proffesional body ya usimamizi.
Mambo mengine ni ngumu kuelewa if you don’t understand the specific industry norms, nje ya Tanzania accusations za Kigwangalla ni very serious offences kwa wahusika waliokaguwa wizara; unless ofisi ya CAG wajitete kwa kusema wametumia internal auditor report.
Otherwise kwa CAG this is very bad na bunge linatakiwa kuchukulia hizo hoja za Kigwangalla serious they rely on CAG reports kwa maamuzi yao mengi sana, sasa kama kazi zenyewe sio independent ni tatizo kubwa as far as auditing is concerned.