Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa


#MKENDA MUST RESIGN!
#CAG MUST GO!
#JUSTICE4KEY-GWANGALLA!
 
Huyu Dr wa kuku yeye alikuwa anatumia pesa za umma kusafiri na warembo hakuona kosa?
MUda mwingi ofcn alikuwa akitumia kulumbana na MO kisa alinyimwa mkopo wa pikipiki, alipata wapi muda yeye?
Na hupenda kulialia kama mtoto wa kike!
 
#MKENDA MUST RESIGN!
#CAG MUST GO!
#JUSTICE4KEY-GWANGALLA!
Hayo ya Mkenda binafsi nadhani ni ya Samia kwa uelewa majungu ndio tabia zao huko CCM so watajua watakavyo wapatanisha.

Ila CAG kujiingiza kwenye siasa na report yake kukosa elements za Independence it’s very bad. Sasa sio lazima awe CAG mwenyewe kuna watu chini yake ndio wana andaa hizo report.
 
Napenda sana mjadala wa hoja

Ofisi ya CAG inatakiwa itoe ufafanuzi wa hoja hizi ili moambano uwe wa hoja badala ya vihoja

Vielelezo vya ufisadi wa Kigwangala viwekwe hadharan

Kigwangala nae atufafanulie chanzo cha ugomvi wake na Katibu Mkuu wake chanzo kilikuwa nini?…maana kwa taswira ya nje inaonekana ni mtu wa misimamo sana
 
Duh...!. Nimemsikia akiongea na kumtaja mtu kwa jina kwa kumtuhumu bila ushahidi!, ukihoji intellect ya baadhi ya viongozi wetu, unaweza kuonekana huna nidhamu!.

Kiukweli Kibajaji ambae ni darasa la Saba, ana afadhali sana!.
P
 

Kachanganyikiwa kutokurudi kwenye baraza la mawaziri, hivi unafahamu january makamba, mwigulu na Bashe wanamuumiza sana kichwa na amedhihirisha uwezo wake wa kufikiri haoni watulivu wa akili kama Bashungwa kila teuzi wamo na wana weledi wa hali ya juu
 
Kazi ya kwanza kabisa ya kigwangala ilikuwa kumlia timing lazaro Nyalandu alipomkosa akaenda kuwapigisha pushup askari wa TANAPA bdae akaenda kuzurula na helicopter ya Tanapa bdae akafurushwa mwisho wa historia
 
Aisee hawa watu bado.bifu lao limaendelea?

Hayati si alishawapatanisha ? Au ndio alivyo ondoka na mapatano yao kaondoka nayo ? Au ni ya moyoni tu ya hamisi ?
 
Ndiyo lakini bado sioni mantiki ya mheshimiwa fulani kufanyiwa fitina kimahesabu. Ingekuwa kwa maneno ndiyo ningeelewa sana.
Alisimama na kulizungumzia hili bungeni Spika Tulia akamwambia ripoti ya CAG tunayo, yako hatujaipata. Na akamuongoza kuwa utaratibu ana ufahamu ni upi! Maadamu anaizungumza ndani ya Bunge ailete ripoti yake ijadiliwe na kupitiwa kwa kuangaliwa pia ripoti ya CAG ili yaweze kuthibitishwa madai yake.

Alichokifanya ni kuja kwenye umma na kudai kuwa ameonewa, ameshutumiwa. Anatafuta huruma kutoka kwa raia na kitu ambacho si sahihi na ni ashirio kuwa yaliyomo kwenye ripoti ya CAG ni ukweli mtupu. Akija kwetu kwa raia ni kutufanya tuamini maneno yake kwa sababu sisi hatuna njia madhubuti za kusahailisha kwa alichotuhumiwa.

Hicho pekee ni kiashiria tosha ya kuwa huyu mtu ni kanjanja.
 
Aache ukumbafu huyu.
 
Alipokuwa waziri na anakwiba mahela hakuwahi kuongea chochote , haya majamaa ni ya ajabu sana
Jamaa alikuwa anawabeba bongo muvi anawapeleka Marekani eti mabalozi wa utalii mademu watupu akina aunt Ezekiel.
 

Hivi Kigwangala ni nani nchi hii.
Huyu ni pimbi wa kisiasa tu.
Debe jiiingiii.....!
 
Hamisi
 
Huyu jamaa bwana

Hivi udokta wake ashawahi kupractise

Ova
 
Mpumbavu wewe
 
Hamisi, hizi vita zote ni kwako
Ya Mo dewji
Ya profesa
Ya CAG!
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…