Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo.

Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na Ufipa.

Dominica njema!
 
Huyu ripoti ya CAG inamuhusu, ila anajua kwa kumtukuza Mama, anaweza baki salama na ndio maana anaongea yote haya.

Isitoshe, huu ni ushahidi wa siasa za makundi zilizoko ndani ya CCM leo hii.

Kundi la Mwendazake vs kundi lilosahaulika/lililoathirika enzi za Mwendazake.
 
Sijui anamsema nani sasa?
 
Nafuu Kama ukweli ameujua,maana walikuwa wanamsingizia



 
akumbuke nae ni mwizi alichonga kinyago Cha babu yake akakibatiza jina la nyerere kwa bei ya million 600...
Wakati bei ya vinyago Kama hivyo haizidi milion 10...arudishe milion 5.
 
Kwani Kigwangalla alisahaulika enzi za mwendazake?
 
Yeye si miongoni mwa wahuni wa awamu ya tano? alinyanyaswa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…