Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

Hili lijamaa nafiki sana! Uzuri Mama Samia alishalisoma! Debe tupu hili, kipindi cha Magufuli hata wapuuzi kama huyu eti walilamba uwaziri!
Huweji kujua anasimamia nini, muda wote ni bendera fuata upepo tu!
 
Jana Dr Hamis Kigwangalla aliyekwahi kuwa Waziri wa Utalii ali tweet kama ifuatavyo:

Ni wazi anatafuta ukaribu na Rais SSH. Tumsaidie Rais SSH kumtahadharisha dhidi ya UCHAWA wa HKigwangalla. Huyu ni mtu wa HOVYO sana, anatafuta namna tu ya kumsogelea Samia lakini ni mchafu, mwizi, mtu wa kujipendekeza na mchonganishi kupita maelezo. Kama Mama anataka MACHAWA awatengeneze mwenyewe wa kwake lakini siyo Kigwangalla
 
Hii nchi ni ngumu sana!!na si ajabu ukamsikia ame rudishwa tena kwenye baraza la mawaziri!!yaani hadi unashindwa kujua ina maana hakuna kabisa watu wapya wa kufanya kazi kila siku sura ni zile zile tu!!
 
Kama aliwarudisha Makamba na Mbalawa atashindwa nini kuwarudisha Kigwangalla na Nape; kinachotakiwa ni kwa wao kuwa karibu na Kikwete tu!
 
Mama anawajua wote na kwanza anasoma nyuzi zote humu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mchumia tumbo tu huyo kama wengine.
 
Hata hii PICHA ya HAYATI BABA wa TAIFA WALIKUCHONGEA?
 
Hongera Rais Samia kwa kusikia kilio changu. Last month nilikutahadharisha kuhusu Dr Hamis Kugwangalla. Nilikuonya kuwa anajaribu kujisogeza karibu na wewe ili umteue.

Mkeka imetoka na Kugwangalla hayupo. Asante sana
 
Acha kujipendekeza lofa wewe mjane wa charles mbowe.

Kama una uwezo wa kumuonya rais Samia si umwambie akuteue sasa
 
Kigwangalla ni fisadi aliyekosa nafasi. Sasa hivi linahaha kama malaya wa Chako ni Chako kwa kuwa snitch wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…