Kenya 2022 Dkt. Kikwete kuongoza Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Kenya 2022 General Election
Aliyesababisha Watanzania wote Kudharauliwa na kuonekana ni Kituko na Majirani na Wenye Akili Kubwa duniani.
Hata yalikuwa maneno tu ya dhihaka dhidi yake. JPM a.k.a Jiwe naye utasemaje?
 
Halali mtu. Tutalisimanga hilo JIZI usiku na mchana.
Masikini hulali kwa sababu ya Kikwete!

We ndo boya kweli kweli.
Na hutolala kweli mana JK anazidi kushine tu km kijana vile.
Hivi sasa yy ndo kaishikilia nchi kila analolitaka linakuwa.

Huku kwenye Jumuia za kimataifa wanaendelea kumtambua.
Halafu Masikini kama nyie mliopata malezi ya kimasikini eti hamlali kisa kumsimanga JK!!
Foolish!
Andaeni watoto wenu waondokane na mawazo yenu hayo ya kimasikini
 
Anaonekana BADO ana nguvu japo kakosa tabasamu lake lile tulilolizoea!

Huyu jamaa katuweka kwenye ramani watu WENGI Sana humu hasa kielimu!nakumbuka ni katika kipindi chake HSLB imetupatia mikopo ya vyuo vikuu kwa wanachuo wengi Sana!!

"Kikwete is an easy man to hate but hard to despise""!

Ni kweli ktk kipindi chake ndipo uzao wa UFISADI ulizaliwa,ukakua na kukita mizizi Hadi leo kuuondoa itagharimu MISINGI ya umoja wa kitaifa ambao hata hayati jpm ilimtesa Sana Hadi huko alipo!!

"RIP in advance Boss"! In yoga's writings!!


Taarifa itatumika ku spin 20/7/2022 to 15/8/2022 tagert is locked!!?

Tusubiri

Tukumbuke;-

'Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Katuibia gesi yetu ya mtwara na genge lake la majizi.

Tunamtaka arudishe gesi yetu ili wananchi wafaidike na mali waliyopewa na Mungu.

La sivyo, tutamsimanga kweli kweli mwizi mkubwa yule.
Aliibaje? Tupe ushahidi
 
Rais mstaafu Dr Kikwete ataongoza kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Africa Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Source ITV
UCHAGUZI wa Nyumbani kwake TANZANIA Chama chake kinauchafua na Yeye akiushuhudia Eti leo mwangalizi
 
Hili zee halitaki kustaafu?

Au linasubiri kustaafishwa kwa bunduki?
Mkuu kuna level ukifika inakuwa na majukumu yake, haijalishi unamchukia huyu mtu kiasi gani lakini hiyo ndio level yake, lakini pia katika Afrika mashariki yeye ndiye mstaafu kijana kwa sasa, baadaye atakuja Uhuru Kenyata, lakini kwa sasa ni Kikwete.
Kikwete anaheshimika sana Duniani, huo ndio ukweli.
 
Hivi Kikwete PhD aliisomea wapi?Yeye na Msukumu ni dugu moya,sasa kuitwa Dokta inakuaje wakati ya heshima tu🤣🤣
 
Sorry Rais mstaafu Kikwete amesoma PhD yake chuo gani?
 
Kenyans! Kenyans! are you insane? Allowing the ruthless dictator to be the what?
Give us a break--- Do you know who is Jakaya? Rigging will not be reported I tell you! DP Ruto you are doomed!!
 
Kenyans! Kenyans! are you insane? Allowing the ruthless dictator to be the what?
Give us a break--- Do you know who is Jakaya? Rigging will not be reported I tell you! DP Ruto you are doomed!!
Do you even know the meaning of a dictator??
Ficha ujinga wako Buda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…