Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.
Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi.
===
Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza mpango kwa kianzia kwenye matumizi kwa kuorodhesha vitu gani tunataka vifanywe mimi naorodhesha kwanza naomba Mungu ajalie kwamba pamoja na mafanikio tuliyopata kule kwenye miondombinu kule kwanza kule Bunju wamesahau wamesahau zile barabara zetu kule Bunju.
Lakini kama tutaorodhesha watu hawaorodheshi the shopping list is huge TARURA inataka pesa TANROAD inataka pesa halafu bado wengine wanasema sijui tujenge na viwanda. Serikali haiwezi kujenga viwanda zaidi Serikali iwezeshe kwenye viwanda vya kimkakati ambavyo tunatakiwa kama Serikali kama vilivyosemwa kwenye hotuba ya Rais hiyo ni ya kuwezesha viwanda vya kimkakati hata kama ikiingia ubia, sera ziwe safi lakini hatuwezi kusema Serikali ikajenge sijui viwanda vya alizeti hatutaweza hivyo.