Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 510
- 3,178
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takataka kabisa!! Kwahio nyie vilaza, MTU akitoa madini yaliyokwenda shule, ni anautafuta uwaziri, ?!Kimei anautafuta uwaziri kwa nguvu ila hata upata maana na ukaskazi wake
kwanza haishi kishumundu. eneo lake la ubunge ni moja ya maeneo tajir pale moshi. kwakwe mwenyewe kajipanga.. na hela anazo hata kabla ya ubunge. ni wale watu wasio na stress likija suala la pesa.Ngoja aambiwe rudi kishumundu tutakuita tukikuitaji Ndio atajua hajui.
Babutale yeye anagonga meza tu hataki tabu.
Mwana FA ndio kabisa yuko kijijini Muheza anatumikia wananchi waliomchagua hana abari.
Tanzania ya viwanda....bajeti kilimo 6%...Mama Tanzania.CCM ya Magufuli ni Janga kwa Taifa.
Kwenye kampeni kajaza magari ya gharama kubwa, "viete"
Amewaokota majalalani huko na kawajaza dodoma wanachezea tu kodi zetu, na kupanua midoma Eti LITAKE LISITAKE milele,
halafu bajet za kilimo ambacho ni uti wa mgongo kwa taifa unatoa 6%. Ya Bajeti
Mimi nakubaliana na mawazo yake. Upofu ni wangu mwenyewe. Je wewe una matatizo ya usikivu aka kiziwi?Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.
Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi.
===
Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash batik sasa tukianza kuzungumza mpango kwa kianzia kwenye matumizi kwa kuorodhesha vitu gani tunataka vifanywe mimi naonaorodhesha kwanza naomba Mungu ajalie kwamba pamoja na mafanikio tuliyopata kule kwenye miondombinu kule kwanza kule Bunju wamesahau wamesahau zile barabara zetu kule Bunju.
Lakini kama tutaorodhesha watu hawaorodheshi the shopping list is huge TARURA inataka pesa TANROAD inataka pesa halafu bado wengine wanasema sijui tujenge na viwanda aa aa serikali haiwezi kujenga viwanda zaidi serikali iwezeshe kwenye viwanda vya kimkakati ambavyo tunatakiwa kama serikali kama vilivyosemwa kwenye hotuba ya Rais hiyo ni ya kuwezesha viwanda vya kimkakati hata kama ikiingia ubia, sera ziwe safi lakini hatuwezi kusema serikali ikajenge sijui viwanda vya alizeti hatutaweza hivyo.
Uliza kwanza.. anayetoa gawio ni bodi na sio CEO.. Kwa hiyo sio sahihi kusema eti Kimei ndo alikuwa ananyima gawioKimei pia naye ana weakness zake alikuwa hatoi gawio crdb na alitakiwa kufanya hivyo kwa mashirika na taasisi za serikali
au siyo ndugu zangu
So, what's your point? Should the tax go up or not?Mkuu, kimei kasema makusanyo ya mapato.... Kodi ni sehemu mojawapo tu ya mapato ya serikali.
Ndio maana kasema either tuna overstate GDP au Revenues..... Maana anashangaa Bajeti zinapitishwa nene alafu mwisho wa cku zinaambulia 6%!!
Kashauri wawaze nje ya box kuongeza mapato ila haja suggest waongeze makodi tu kwa watu!!
Kupenda ni upofu, weka verbatim basi tuone!Umekurupuka hujaelewa kimei alikuwa anamaanisha nini
Revenue base should be broadened not necessarily tax base!! Waanzishe SWF za kutosha huko kupitia uwekezaji kwenye gesi asilia. Wapromote zaidi hizi EPZA watu wauze nje huko in cheap mapato yaongezeke ndani which in turn ziwe taxable income.So, what's your point? Should the tax go up or not?
Mkuu wacha kuzunguka mbuyu? Kodi ipande au tushushe? Hoja ya Kimei wenzetu kodi yao ipo hadi 23% wakati sisi bado tupo kwenye 13.2%Revenue base should be broadened not necessarily tax base!! Waanzishe SWF za kutosha huko kupitia uwekezaji kwenye gesi asilia. Wapromote zaidi hizi EPZA watu wauze nje huko in cheap mapato yaongezeke ndani which in turn ziwe taxable income.
Kwa nchi kma Norway SWFs inawaingizia matrillioni kwa mwaka tusikariri tu kwamba mapato ni mpaka kuongeza vyanzo kwenye already-narrow tax base.
Tunasikia TPDC ina upstream firm kuchimba mafuta/gesi..... Kma waki maximize inaweza ingiza hela za kutosha (Ingawa sikubaliani na serikali kufanya biashara)
Kuna eneo la utalii... Tuna vivutio vingi kuliko hta Morocco tukiongeza promo na uwekezaji huko mbona tutaongeza watalii kwa mwaka...... GDP itapanda... Taxable income itapanda.
Issue ni vipaumbele tu kuna nchi/Jiji inaitwa Macau..... Wanategemea GAMING industry kuendesha uchumi wa nchi na national strategy imeelekezwa huko so wanajaa watalii wa kila aina so mabilion yanaingia..... Ni ubunifu tu waliona opportunity wakaitumia.
Just brainstorming
Kuna watu wana akili kibaba. Wanadhani Uwaziri ni kitu cha akabu sana. Kwanza kwa utawala huu inakuwa ni kujipotezea heshima kwa jamii.Acha kukimbilia kutoa shutuma zisizo na ushahidi. Hivi ni kwa nini Uvccm wote akili zenu huwa zinafanana? Kwani huo uwaziri una kitu gani cha ajabu? Jikite kwenye hoja. Alichokisema kina mantiki au hakina?
Sidhani kama unachokisema kipo sahihi.Kimei ni technocrat sio mwanasiasa, serikali ilitakiwa kumtafutia nafasi kwenye board za finance huko TRA au BoT baada ya kustaafu.
Anachozungumza ndio wenzake wanachojaribu kufanya, walipa kodi wenyewe ndio hao wakienda kudaiwa wanakwambia wanaonewa, sasa labda aje na mbinu ya kudai ili kuongeza makusanyo ndio atakuwa na point; vinginevyo hakuna wenzake wasichokijua kwenye hoja zake.
Siasa inataka kubembelezana sio kama banking mtu kashindwa kulipa mkopo unachukua tu nyumba mke na watoto watalala wapi sio tatizo la lender bali la baba mwenye nyumba.
Serikali ina different approaches za kukuza tax base ndio hizo seminar za kulipa kodi, kuombana jamani tumieni edf machines, wapokee matusi sijui wanatumia tasks force, waporaji etc mpaka safari ifike unaongeza nguvu taratibu that’s the political approach kwenye kudai chao and it’s not as easy as in banking unakomba asset mtu akishindwa kulipa deni.
Kasema ni Makusanyo sio kodi peke yake usimlishe manenoMkuu wacha kuzunguka mbuyu? Kodi ipande au tushushe? Hoja ya Kimei wenzetu kodi yao ipo hadi 23% wakati sisi bado tupo kwenye 13.2%