Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

Kati ya wabunge wote , nadhani kimei ndio anajielewa na hata unaweza kushawishika kumsikiliza kila akiongea..wengine ni takataka na mavi tu , wengine wamekalisha mapumbu na mitako yao hakuna LA maana wanachoongea
 
Kimei anautafuta uwaziri kwa nguvu ila hata upata maana na ukaskazi wake
Takataka kabisa!! Kwahio nyie vilaza, MTU akitoa madini yaliyokwenda shule, ni anautafuta uwaziri, ?!
 
Ngoja aambiwe rudi kishumundu tutakuita tukikuitaji Ndio atajua hajui.
Babutale yeye anagonga meza tu hataki tabu.
Mwana FA ndio kabisa yuko kijijini Muheza anatumikia wananchi waliomchagua hana abari.
kwanza haishi kishumundu. eneo lake la ubunge ni moja ya maeneo tajir pale moshi. kwakwe mwenyewe kajipanga.. na hela anazo hata kabla ya ubunge. ni wale watu wasio na stress likija suala la pesa.

bottom line is lazima rais ambiwe ukweli. wether anapenda au hapendi. ukweli utampa picha halisi ilivyo miaani .. kuliko kumdanganya hali ni nzuri kumbe ni mbaya
 
Tanzania ya viwanda....bajeti kilimo 6%...Mama Tanzania.
 
Mlikuwa mnalialia kwamba kodi ipunguzwe, vyuma vimekaza, JPM amebana pesa etc., sasa Kimei anasema kodi iongezwe hadi kufikia 23% kutoka 13% (to be at par with other countries). Je, unakubaliana na mawazo yake au ndio upofu wenyewe huo?
Mimi nakubaliana na mawazo yake. Upofu ni wangu mwenyewe. Je wewe una matatizo ya usikivu aka kiziwi?
 
The Jews are always clever and strategic!!¬¬¬¬
 
Kimei pia naye ana weakness zake alikuwa hatoi gawio crdb na alitakiwa kufanya hivyo kwa mashirika na taasisi za serikali
au siyo ndugu zangu
 
Kwa hali ilivyo,Nape,Kimei na baadhi ya wabunge,wanaweza wakasababisha kuitishwa kwa kikao cha dharura ili kuwapa semina ya namna ya kuchangia hoja.
 
Kimei pia naye ana weakness zake alikuwa hatoi gawio crdb na alitakiwa kufanya hivyo kwa mashirika na taasisi za serikali
au siyo ndugu zangu
Uliza kwanza.. anayetoa gawio ni bodi na sio CEO.. Kwa hiyo sio sahihi kusema eti Kimei ndo alikuwa ananyima gawio
 
Point muhimu aliyoitoa ni kuwa Inawezekana kuwa hayo makusanyo au data tunazopewa kuhusu uchumi si za ukweli.
 
Bunge la CCM bana ni kama kikao cha wana ndugu!!
 
So, what's your point? Should the tax go up or not?
 
So, what's your point? Should the tax go up or not?
Revenue base should be broadened not necessarily tax base!! Waanzishe SWF za kutosha huko kupitia uwekezaji kwenye gesi asilia. Wapromote zaidi hizi EPZA watu wauze nje huko in cheap mapato yaongezeke ndani which in turn ziwe taxable income.

Kwa nchi kma Norway SWFs inawaingizia matrillioni kwa mwaka tusikariri tu kwamba mapato ni mpaka kuongeza vyanzo kwenye already-narrow tax base.

Tunasikia TPDC ina upstream firm kuchimba mafuta/gesi..... Kma waki maximize inaweza ingiza hela za kutosha (Ingawa sikubaliani na serikali kufanya biashara)

Kuna eneo la utalii... Tuna vivutio vingi kuliko hta Morocco tukiongeza promo na uwekezaji huko mbona tutaongeza watalii kwa mwaka...... GDP itapanda... Taxable income itapanda.

Issue ni vipaumbele tu kuna nchi/Jiji inaitwa Macau..... Wanategemea GAMING industry kuendesha uchumi wa nchi na national strategy imeelekezwa huko so wanajaa watalii wa kila aina so mabilion yanaingia..... Ni ubunifu tu waliona opportunity wakaitumia.

Just brainstorming
 
Mkuu wacha kuzunguka mbuyu? Kodi ipande au tushushe? Hoja ya Kimei wenzetu kodi yao ipo hadi 23% wakati sisi bado tupo kwenye 13.2%
 
Acha kukimbilia kutoa shutuma zisizo na ushahidi. Hivi ni kwa nini Uvccm wote akili zenu huwa zinafanana? Kwani huo uwaziri una kitu gani cha ajabu? Jikite kwenye hoja. Alichokisema kina mantiki au hakina?
Kuna watu wana akili kibaba. Wanadhani Uwaziri ni kitu cha akabu sana. Kwanza kwa utawala huu inakuwa ni kujipotezea heshima kwa jamii.

Muangalie yule mama wa afya, kuna wakati analazimika kuonekana kama msukule, kisa kumfurahisha kutaka kuonekana na aliyemteua. Lugola alilazimika mpaka kutoa maneno ya kufuru, lakini wapi, jamaa akamng'oa.
 
Sidhani kama unachokisema kipo sahihi.

Kuna kitu ambacho Kimei amekinena ambacho ndiyo uhalisia - uchumi wetu umekuwa overstated. Tunapika data ili tuonekane tumefanikiwa sana. Mwishoni mambo yanagoma, utapeli wa kutengeneza data ili tusifike, unakuwa wazi - numvers do not tie up.
 
Mkuu wacha kuzunguka mbuyu? Kodi ipande au tushushe? Hoja ya Kimei wenzetu kodi yao ipo hadi 23% wakati sisi bado tupo kwenye 13.2%
Kasema ni Makusanyo sio kodi peke yake usimlishe maneno

Then kukujibu ni; kodi haipandishwi kiholela kwa base iliyopo bali kutanua uwanja/pato ili taxable income ipande na ndio maana anajiuliza kma pato linakua kwa kasi tunayoambiwa kivipi makusanyo ni madogo?

Kwa muono wake kukua kwa GDP kuta coincide na kukua kwa makusanyo kma kuna ubunifu kwenye kutafuta vyanzo vipya sio kumkamua maskini yule yule kwa kodi lukuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…