Sio kila kitu atakachokwambia Kimei ndio sahihi. Wewe mwenyewe unaweza enda kujiridhisha kama hoja zake zina merit.Sidhani kama unachokisema kipo sahihi.
Kuna kitu ambacho Kimei amekinena ambacho ndiyo uhalisia - uchumi wetu umekuwa overstated. Tunapika data ili tuonekane tumefanikiwa sana. Mwishoni mambo yanagoma, utapeli wa kutengeneza data ili tusifike, unakuwa wazi - numvers do not tie up.
gawio kwa mashirika na taasisi za serikali.. MakinikiA umemtuhumu Dr.Kimei kutokutoa gawio, lakini hapa kuna taarifa za mwaka 2011/12 za CRDB kutoa gawio kwa wanahisa wake.
CRDB KUTOA GAWIO
Benki ya CRDB inatarajia kutoa gawio la shilingi bilioni 19 kwa wanahisa wake kwa kipindi cha mwaka 2011- 2012 kama sehemu ya faida ya shilingi bilioni 37 ambazo benki imepata kwa kipindi hicho.
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt Charles Kimei alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha alipokuwa akitoa taarifa za awali kuhusu mkutano mkuu wa 17 wa wanahisa tangu kubinafsishwa toka mikononi mwa serikali mwaka 1996.
Aliongeza kuwa pamoja na masuala mengine wanahisa watapewa taarifa ya mahesabu ya biashara ya mwaka uliopita unaoishia 2011 na kuwapa taarifa za maendeleo ya benki.
Dkt Kimei alifafanua kuwa benki hiyo inakila sababu ya kutoa sehemu ya faida kwa wanahisa wake kwakuwa mtaji wa benki hiyo umepanda na CRDB ndiyo benki yenye mtaji mkubwa kuliko benki nyingine hapa nchini.
Aidha aliwataka Watanzania kutambua umuhimu wa kuwa na hisa kwani wengi wameonekana kukosa mwamko na nafasi yao kuchukuliwa na watu wa nje baada ya watanzania kuonekana kuwa hawatambui umuhimu wa kumiliki hisa.
“Watu wengi wamekuwa wakiuza hisa mtaani kwa bei ya hasara jambo ambalo linasababisha kushuka kwa thamani za hisa na kutofikia malengo waliojiwekea wakati wakinunua hisa” alisema Dkt Kimei.
Aliongeza kuwa mkutano huo utafuatiwa na semina kwa waandishi wa habari ambayo itafanyika jijini Dar-es-salaam yenye lengo la kuwapa ufahamu wanatahaluma hao ili kutambua kazi za benki hiyo na namna inavyotoa huduma kwa wateja wake wanaoiwezesha benki kufikisha mtaji wa zaidi ya shilingi bilioni 250 hadi sasa.
cc Naantombe Mushi
mashirika na taasisi za serikali ????.. MakinikiA umemtuhumu Dr.Kimei kutokutoa gawio, lakini hapa kuna taarifa za mwaka 2011/12 za CRDB kutoa gawio kwa wanahisa wake.
CRDB KUTOA GAWIO
Benki ya CRDB inatarajia kutoa gawio la shilingi bilioni 19 kwa wanahisa wake kwa kipindi cha mwaka 2011- 2012 kama sehemu ya faida ya shilingi bilioni 37 ambazo benki imepata kwa kipindi hicho.
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt Charles Kimei alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha alipokuwa akitoa taarifa za awali kuhusu mkutano mkuu wa 17 wa wanahisa tangu kubinafsishwa toka mikononi mwa serikali mwaka 1996.
Aliongeza kuwa pamoja na masuala mengine wanahisa watapewa taarifa ya mahesabu ya biashara ya mwaka uliopita unaoishia 2011 na kuwapa taarifa za maendeleo ya benki.
Dkt Kimei alifafanua kuwa benki hiyo inakila sababu ya kutoa sehemu ya faida kwa wanahisa wake kwakuwa mtaji wa benki hiyo umepanda na CRDB ndiyo benki yenye mtaji mkubwa kuliko benki nyingine hapa nchini.
Aidha aliwataka Watanzania kutambua umuhimu wa kuwa na hisa kwani wengi wameonekana kukosa mwamko na nafasi yao kuchukuliwa na watu wa nje baada ya watanzania kuonekana kuwa hawatambui umuhimu wa kumiliki hisa.
“Watu wengi wamekuwa wakiuza hisa mtaani kwa bei ya hasara jambo ambalo linasababisha kushuka kwa thamani za hisa na kutofikia malengo waliojiwekea wakati wakinunua hisa” alisema Dkt Kimei.
Aliongeza kuwa mkutano huo utafuatiwa na semina kwa waandishi wa habari ambayo itafanyika jijini Dar-es-salaam yenye lengo la kuwapa ufahamu wanatahaluma hao ili kutambua kazi za benki hiyo na namna inavyotoa huduma kwa wateja wake wanaoiwezesha benki kufikisha mtaji wa zaidi ya shilingi bilioni 250 hadi sasa.
cc Naantombe Mushi
Kwanini asiwe wakudumu badala ya 20Bado mtalia Sana,atake asitake ni 20 tena
Usiwaamini wako kwenye mpango maalum....Kwa hali ilivyo,Nape,Kimei na baadhi ya wabunge,wanaweza wakasababisha kuitishwa kwa kikao cha dharura ili kuwapa semina ya namna ya kuchangia hoja.
Kwamba alichoongea huyo jamaa hakina maana kwako! halafu nyie ndio mnakaa na jiwe kwenye meza mnamuongezea ujinga kwamba bila yeye hakuna tz daahMkuu wacha kuzunguka mbuyu? Kodi ipande au tushushe? Hoja ya Kimei wenzetu kodi yao ipo hadi 23% wakati sisi bado tupo kwenye 13.2%
Hili bunge halitaki watu wenye akili timamu mkuu! unahangaika kuumwelewesha mtu mzima aliyekabidhi akili zake kwa mtu mwingine 😛 😛Acha kukimbilia kutoa shutuma zisizo na ushahidi. Hivi ni kwa nini Uvccm wote akili zenu huwa zinafanana? Kwani huo uwaziri una kitu gani cha ajabu? Jikite kwenye hoja. Alichokisema kina mantiki au hakina?
Acha kukimbilia kutoa shutuma zisizo na ushahidi. Hivi ni kwa nini Uvccm wote akili zenu huwa zinafanana? Kwani huo uwaziri una kitu gani cha ajabu? Jikite kwenye hoja. Alichokisema kina mantiki au hakina?