TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Inasikitisha sana,mtu anakuwa na taarifa za kuunga unga kwa super glue ilimradi tu atoe taarifa inayoijua yeye na kuleta tafrani kwa umma

Apumzike panapomstahili marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu ulitaka nitoe taarifa gani zaidi ya hii taarifa tuliyopata ni kua Dr amefariki na umeambiwa alikuwa anapata matibabu Benjamini mkapa hosp ,Sasa ulitaka nianze kuuliza kafaje na mm si mwanafamilia na ugonjwa ni siri ya Dr na mgonjwa,nikiandika unayotaka kuyasikia wewe itakua uzushi huo na kumvunjia heshima huyu Dr bingwa wa ukweli hasa ambaye alikuwa anasaidia sana kutibu watu hasa wazee
 
Je kifo chake nacho kimetokana na matatizo ya kupumua?
 
Taarifa inatosha, achana naye huyo, sii tushaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitaka uweke na mwaka wake wa kuzaliwa, kumaliza medical school na kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…