Museveni ile nchi aliinyakua kwa kutumia silaha.
Ngoja tuone,Wana la kujifunza!Samia na utawala wa CCM jiandaeni na nyie kama mnavyo fanya mateso mkitegemea dunia inawachekea.
Huko uganda mpinzani wa museveni alipata kuanguka mahakamani na kuwekwa kizuizini mda mrefu sasa hali ni mbaya.Kuanzia mda huu tunaweza kupata habari za Tanzania.View attachment 3641478
Uganda kama Zanzibar tu server zao zipo Chamwino.Sio muda mwingi na yeye atanyakuliwa. Ana miaka 81! 😊
Uganda kama Zanzibar tu server zao zipo Chamwino.
Dingi Mstaarabu kiasi flan sema lile bao lake ndo kipengele, Museveni na Besigye walikua wana fresh tu hata walipokuja kutofautiana mitazamo Museveni hakua mkatili sema hili bao lake lililozaliwa Tz ndo linawakatili sana opposition pale +256.Bora! Lakini huyo dingi hapana! 😊
Museveni ile nchi aliinyakua kwa kutumia silaha.
Siku zote ndege wafananao huruka pamoja. Huwa anamuita "Kaka M7" "Ndio maana Samia na Museveni ni marafiki.
29 July 2026LIVE MUBASHARA MFUMO WA HAKI JINAI ULIVYOTEKWA NA DOLA - BESIGYE AFOKA KABLA YA KUANGUKA
29 July 2026
Kampala, Uganda
. He (Orlando) started providing evidence to court on how Besigye contacted him seeking fire arms and other military support and guidance to overthrow gov't