Dkt. Kizzmekia Shanta Corbett mwanamke mweusi aliyeusika katika ufumbuzi wa chanjo ya Covid 19!!

Dkt. Kizzmekia Shanta Corbett mwanamke mweusi aliyeusika katika ufumbuzi wa chanjo ya Covid 19!!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
1607852562584.jpeg



200330-kizzmekia-corbett-cornavirus-se-317p_acc349ed17ca21a1f174d6351b0e96a7.fit-1240w.jpg




200413-coronavirus-kizzmekia-corbett-mn-0900_943f58ddfff0b1d33cc596aa17173bc7.fit-760w.jpg


Dr. Kizzmekia "Kizzy" Shanta Corbett ni Viral immunologist katika National Institute of Allergy and Infectious Diseases, National Institutes of Health (NIAID NIH) based in Maryland - USA. Ni scientific lead of the VRC's Coronavirus Team.

Mchango wake na team yake ulikuwa kwenye SARS-CoV-2 spike protein.


Hail to our black Queen!!
 
Kabla ya chanjo..inabidi waeleze nani katengenezaz huo ugonjwa.

Naona lengo limetimia, ilikuwa sio Corona bali ilikuwa ni Chanjo.

Watu aanze kujipigia pesa...dadeki hiii dunia bhan😂😂😂

Wajinga tutapigwa sana.
 
ingependeza sana kama ingesomeka "mwanamke mwenye asili ya afrika ... " ni vyema kuwatambulisha watu kwa asili yao na sio rangi ya ngozi
 
Bongo wao be like "..tuma na ya kutolea...""

Shwain[emoji849]

Ukiwa mwanamke Kama huyo lazima ujitume kutafuta hela na show iwe Kali ili muende sambamba

Kuna kiazi atasema unatakulelewa[emoji57]
 
Mleta mada ni mbaguzi wa rangi.
Mkuu,
We are minority hasa kwenye uvumbuzi. Weusi wengi wamekuwa hawapewi nafasi kwenye science. Kama umengalia ile movie ya “Hidden figures” kwenye research laboratories bado huu ubaguzi hupo!!
Kwa hiyo ikitoe mweusi aka shine kama huyu sio vibaya akatbulishwa hata wazungu wenyewe wanamtambulisha kama mweusi!!
 
View attachment 1648824


200330-kizzmekia-corbett-cornavirus-se-317p_acc349ed17ca21a1f174d6351b0e96a7.fit-1240w.jpg




200413-coronavirus-kizzmekia-corbett-mn-0900_943f58ddfff0b1d33cc596aa17173bc7.fit-760w.jpg


Dr. Kizzmekia "Kizzy" Shanta Corbett ni Viral immunologist katika National Institute of Allergy and Infectious Diseases, National Institutes of Health (NIAID NIH) based in Maryland - USA. Ni scientific lead of the VRC's Coronavirus Team.

Mchango wake na team yake ulikuwa kwenye SARS-CoV-2 spike protein.


Hail to our black Queen!!
Jamani, kwani kuwa mweusi ni nini? Mbona we are degrading ourselves!!?
 
Back
Top Bottom