bure? hakuna cha bure,tutakaopigwa ni africa.Ulaya na American wameshaweka order ya zaidi ya BILIONI!!
Mkuu unaposema Africa ndio kuna soko. Embu fafanua? Sana sana tutaomba kupewa bure!!
Mkuu,Mleta mada ni mbaguzi wa rangi.
Jamani, kwani kuwa mweusi ni nini? Mbona we are degrading ourselves!!?View attachment 1648824
Dr. Kizzmekia "Kizzy" Shanta Corbett ni Viral immunologist katika National Institute of Allergy and Infectious Diseases, National Institutes of Health (NIAID NIH) based in Maryland - USA. Ni scientific lead of the VRC's Coronavirus Team.
Mchango wake na team yake ulikuwa kwenye SARS-CoV-2 spike protein.
Hail to our black Queen!!
Afrika ndiyo kuna soko... wanatuvutia tununue chanjo
Umesikilia wapi?100%
Kabisa mkuu, juzi kati nasikia Bill gate kakataa watoto wake wasipatiwe chanjo[emoji15][emoji15][emoji2368]