Dkt. Leonard Chamuriho atajwa na Rais kuwa ni mtaalam wa kufanya mazungumzo - "Negotiation Expert". Je, hawa watu tunao wangapi?

Well said [emoji7]
 
Dr. Chamuriho kitaaluma ni mhandisi ujenzi aliyebobea kwenye ‘Structural Engineering’ na Uendeshaji miradi. Alikua mhadhiri chuo cha Uhandisi na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 
Hahaha tatizo watanzania huwa hamumuelewi rais wetu. Wote anao wataja ni wale anaowapenda yeye. Na ni kwasababu hao anaowataja pia ni wale wanaomuabudu ndivyo alivyo.
Alipokuwa kigoma aliwashangaa kwanini hawachagui watu kama Dr.Ndalichako kwasababu ni wachapa kazi, alipokuwa Zanzibar aliwashangaa kwanini hawakumchagua Dr.Mbarawa. Huyo naye anapigiwa chapuo ili nasisi wananchi tumpende. Wananchi wana maamuzi yao na pia wapo tunaowapenda sisi. Mimi simuamini kwenye hilo, Ila naamini ni rais wetu.
 
Dr. Chamuriho kitaaluma ni mhandisi ujenzi aliyebobea kwenye ‘Structural Engineering’ na Uendeshaji miradi. Alikua mhadhiri chuo cha Uhandisi na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
amebobea wapi sasa huyo ni sawa tu na wale maphd wengine kufundisha udsm sio uexpert ni narudio ya tu unalichosomea kila siku kwa wanafunzi ndo maana mohd wengi wamechemka
 
Modes rekebisha hapo ni chamuriho
 


Ndiyo maana mambo huwa yanaharibika upande wetu, "how can you sorely rely on a single mind for a crucial national matter as such"" ??!! 🤔🤔🤔
 
Mkuu nakupongeza sana kwa kuiyona hii angle..!
1. Mh Rais hana unafiki, ukifanya vizuri atakutaja na kukupongeza mbele ya kadamnasi! Huyu Dr Chamuliho katika ununuzi wa ndege kamupni ya Airbus ilitaka imuondoe, ilifikia muda baada ya Airbus kukosa Tender ya ndege kubwa basi walimshtaki kwa Mh Rais kuwa alihongwa na Boeing na ndiyo maana aliwapata ile Tender lakini Mh Rais aliunda jopo likaenda kumfanya uchunguzi mwisho wa siku Dr alionekana yuko Sahihi kwani Airbus ilihitaji fedha nyingi na walihitaji muda mwingi kutuletea ndege, kama ingekuwa ni Aibus basi leo hii tungekuwa bado hatuna ndege kubwa tunasubiri mpaka mwakani ndipo ije lakini Boeing walitoa muda mfupi na hela ikiwa nafuu na hapa ndipo Mh Rais alianza kumuamini huyu Dr.

2. Nilimuona pia Eng; Mfugale kwenye timu ya mazungumzo:- Hili si la kupuuzwa nalo na sitoshangaa awamu ijayo Mfugale akawa Katibu mkuu wa wizara kwani nae kaaminika sana kwa Mh Rais, Mh Rais siku anafungua Flyover pale Tazara alisema Mfugale alitimuliwa na watu fulani kipindi yeye alipopelekwa wizara ya uvuvi lakini aliporudi alimteua tena kuwa mkurugenzi wa Tanrods, ki ukweli Tanzania ilifikia hatua ukiwa mfanyakazi mzuri na mpinga rushwa unadhoofishwa sana lakini leo tunaona Mh rais anavyo watumia hawa watu kutuletea maendeleo.

Niliwahi kuleta thread hapa JF juu Mfugale https://www.google.com/url?sa=t&rct...ais.1510743/&usg=AOvVaw3FykRGvEZQld8jCt_fLZ2m ni kweli watumishi hasa hawa wakubwa wakiangalia kwa jicho la tatu basi wanakila sababu ya kujifunza kitu kwa Eng Mfugale na Dr Chamuliho.
 
Kabisa mkuu kama alivyopongeza ripoti ya makinikia ya Prof Kabudi na tukahidiwa Noah na sasa watanzania tunaona wazi wazi tumeanza pata Noah zetu ambazo zinasambazwa na tatu mzuka.
 
Mafanikio ya madiliano yanapimwa sio kwa utiaji sahihi bali tumepata nini.Wewe hujui tuli bargain kupata nini na tumekosa au kupata nini.Acha kusifia sifia
 
 
Makofi wha! wha! Whaaa!
 
NI wapi hapa duniani umeona wafanya hivyo yaani mwananchi wa kawaida apewa nakala ya mikataba baina ya serikali za nchi mbili?
kwaio unataka tumsifie huyo ndugu bila kuona kazi yake? really?
 
Mkuu . mimi ni mjasiriamali tu wa kawaida.

Ila nna interest sana na masuala mbalimbali ya kimaendeleo.

Mimi nipo kwenye michezo, diplomasia, siasa na mengi tu.
huo mkataba wewe umeuona? au kwa vile magu kasifia basi unaamini ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…