Dkt. Liberata Mulamula: Tanzania kunufaika na Soko Huru la Biashara Afrika - AfCFTA

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
29 June 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Eneo la soko huru kupitia mkataba wa AfCFTA yafikia nchi 38, tanzania kufaidika


Tanzania imeridhia na pia kufikia hatua za mwisho kuingia katika soko kubwa la biashara kupitia eneo la soko huru barani Afrika AfCFTA litalokuwa na idadi ya zaidi ya watu bilioni moja wanaoishi katika nchi za 38 za Afrika zilizoridhia kujiunga ktk mkataba wa soko hili amesema waziri Dr. Liberata Mulamula wakati alipomaliza mazungumzo na katibu wa mkuu wa secretariat ya AfCTA ya Umoja wa Afrika - AU Mr. Wamkele Mene yenye makao makuu ya nchini Ghana.

Source: ITV TANZANIA

MORE INFO:

About the African Continental Free Trade Area (AfCFTA)​


African Continental Free Trade Area (AfCFTA) is a flagship project of Agenda 2063 of the African Union — Africa’s own development vision. It was approved by the 18th ordinary Session of Assembly of Heads of State and Government, held in Addis Ababa, Ethiopia in January 2012 which adopted the decision to establish a Continental Free Trade Area.

This initiative whose immediate implementation would provide quick wins, impact on socio-economic development and enhance confidence and the commitment of Africans as the owners and drivers of Agenda 2063.

The AfCFTA aims at accelerating intra-African trade and boosting Africa’s trading position in the global market by strengthening Africa’s common voice and policy space in global trade negotiations.As at 5 February 2021, 36 countries have deposited their instruments of ratification., 36 countries have ratified the AfCFTA agreement.
The general objectives of the AfCFTA are to:
  • Create a single market for goods, services, facilitated by movement of persons in order to deepen the economic integration of the African continent and in accordance with the Pan African Vision of “An integrated, prosperous and peaceful Africa” enshrined in Agenda 2063;
  • Create a liberalised market for goods and services through successive rounds of negotiations;
  • Contribute to the movement of capital and natural persons and facilitate investments building on the initiatives and developments in the State Parties and RECs;
  • Lay the foundation for the establishment of a Continental Customs Union at a later stage;
  • Promote and attain sustainable and inclusive socio-economic development, gender equality and structural transformation of the State Parties;
  • Enhance the competitiveness of the economies of State Parties within the continent and the global market;
  • Promote industrial development through diversification and regional value chain development, agricultural development and food security; and
  • Resolve the challenges of multiple and overlapping memberships and expedite the regional and continental integration processes.
Source: Home
 
Abuja, Nigeria

AfCFTA on intra Africa trade

Nancy Nnaji hosts Wamkele Mene, the first Secretary-General, African Continental Free Trade Area (AfCFTA) on an exclusive interview session.
 
Tuharikishe tujiunge au turidhie mkataba wa EPA pia washamba na mashabiki wakae kipembeni
 
Vyombo vyetu vya habari kama wahariri wake walitakiwa katibu mtendaji huyu wa AfCFTA afanyiwe interview ya kina ili wafanyabiashara wa Tanzania wapate taarifa kuhusu eneo hili huru la biashara Africa wachangamkie fursa .

Lakini katibu mtendaji wa AfFCTA ataondoka Tanzania bila kuitwa na MEDIA za Tanzania huku anashangaa kwanini imekuwa hivyo .
 
Vyombo vya habari Tanzania vipo vipo hawajiongezi kutafuta habari kuwahoji kwa interview ndefu vigogo kama huyo mgeni katibu mtendaji wa AfCFTA , hii ni fursa ya kupata labda connection matangazo au mafunzo ya muda mfupi ya nje kwa waandishi wao ikiwa wataonekana kufuatilia taarifa kama hizi za Umoja wa Afrika- AU, Secretariat ya AfCFTA n.k.

Wao wahariri wanabakia kutoa kilio tu kama jana mbele ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan

 
Kwa hiyo alikuja ili aitwe na vyombo vya habari?
 
Kwa hiyo alikuja ili aitwe na vyombo vya habari?

Mwandishi wa habari ni kama mchunguzi lazima azuke maeneo kama haya ikiwa wanataka wabakie kuwa na maana katika fani ya uandishi wa habari.
 
Safi sana, ngoja niendelee kujielimisha
Haiwezekani Afrika combined inafanya biashara ndogo in between ila ina volume kubwa na China , EU etc
 
7 December 2020

Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) 13th Assembly with Secretary General Wamkele Mene

Africa is on the cusp of a historic milestone which started when the AfCFTA was signed in Kigali, Rwanda, in March 2018. As of today: - 54 countries have signed the agreement - 34 countries have deposited their instruments of ratification - The Federal Government of Nigeria deposited their instruments on December 5, 2020 - 41 countries and customs unions have submitted their tariff offers - The East African Community (EAC) and ECOWAS have submitted their offers in the last few days This effort positions the AfCFTA for a truly commercially meaningful start of trading on the start of January 2021.” The Secretary General highlighted a key focus on specific areas that should be given priority in the AfCFTA implementation, most notably: - Women in trade - Young Africans - Small medium enterprises

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…