TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

Ok thanks milijua ipo humu. Bless..
Hata humu uzi za kumhusu zipo kibao. Tafuta Dr Shika. Huyu alitrend tangu 2017 alivyoonekana kwenye mnada na kuahidi kununua nyumba kwa million 900.
900 itapendeza.
 
Msimsingizie Mungu. Mungu katuumba kwa mfano wake. Mtu ulale nje mnazi mmoja na ulisoma ili uwe na maisha mazuri then unasema ni mpango wa Mungu. Big NO.
Sasa President uje kuwa mfungwa utakuwa umefanya kosa mwenyewe sio kumsingizia Mungu.

Sidhani kama umenielewa! ...Mungu alikujua kabla hujazaliwa. Panga na kufanya lolote lililo ndani ya uwezo wako, lakini hayo hayawi substitute ya mipango yake mwenyewe.

You can graduate today and die five minutes after receiving a degree for which you may have spent eight years to earn, for example. If you knew that was in store for you, would you still be willing to endure an 8-year ordeal only to die five minutes after receiving your degree?
 
Kufa hiyo ni habari nyingine. Kufa kila mtu lazima afe na haijulikani muda wa kuondoka.
Ila ukiwa unaishi unalalaje nje mnazi mmoja wakati umesoma tena ni Dr kabisa. Hapa nakataa kabisa. Mungu hawezi kukupangia uishi kwa kulala stendi ili hali umesoma ili uwe na maisha mazuri.
 
Eti unakataa kabisa... Sasa unakataaje wakati umeona hilo likitokea kwa Dr. Shika? Kama huwezi kujua siku yako ya kufa lakini Mungu anaijua, Mungu huyo huyo angeshindwaje kujua kwamba kuna kipindi Dr. Shika angelala nje pamoja na usomi wake wote?

Je, wewe kila kitu ulichokipanga kukifanya maishani mwako umekifanya na kikaenda kama ulivyofikiria? Je, unaamini kwamba kuna role yoyote ya Mungu katika mambo yote unayofanya?
 
Kufa hiyo ni habari nyingine. Kufa kila mtu lazima afe na haijulikani muda wa kuondoka.
Ila ukiwa unaishi unalalaje nje mnazi mmoja wakati umesoma tena ni Dr kabisa. Hapa nakataa kabisa. Mungu hawezi kukupangia uishi kwa kulala stendi ili hali umesoma ili uwe na maisha mazuri.
nyie ndo wale mkimalizaga degree mkikosa kaz manajinyonga
 
Kusoma Urusi halafu kuja kuishia kulala mnazi mmoja nje. Dah kaishi maisha ya ajabu.
Inawezeka alikuwa mentally unstable. Wapo watu wengi wa dizaini hiyo, kuna mmoja tumekua tunasimuliwa story zake; alikuwa Dr wa Kambarage. Yule alikuwa ni Prof bingwa kabisa, tatizo akishapiga bia zake pale "The Kilimanjaro Hotel" enzi hizo alikuwa haoni shida yoyote kukojoa pale reception kabisa. 😁 😁
 
Inawezekana hakuwa alikuwa mentally unstable. Wapo watu wengi wa dizaini hiyo, kuna mmoja tumekua tunasimuliwa story zake; alikuwa Dr wa Kambarage. Yule alikuwa ni Prof bingwa kabisa, tatizo akishapiga bia zake pale "The Kilimanjaro Hotel" enzi hizo alikuwa haoni shida yoyote kukojoa pale reception kabisa. [emoji16] [emoji16]
Profesa Shaba yupo Marekani.
 
Sidhani kama umenielewa! ...Mungu alikujua kabla hujazaliwa. Panga na kufanya lolote lililo ndani ya uwezo wako, lakini hayo hayawi substitute ya mipango yake mwenyewe.

You can graduate today and die five minutes after receiving a degree for which you may have spent eight years to earn, for example. If you knew that was in store for you, would you still be willing to endure an 8-year ordeal only to die five minutes after receiving your degree?
Akili zake kazikalia, anafikiri anaishi kwa akili zake,Dunia ina mambo mengi sana ujuaji mwngii usio na faida.
 
Kufa hiyo ni habari nyingine. Kufa kila mtu lazima afe na haijulikani muda wa kuondoka.
Ila ukiwa unaishi unalalaje nje mnazi mmoja wakati umesoma tena ni Dr kabisa. Hapa nakataa kabisa. Mungu hawezi kukupangia uishi kwa kulala stendi ili hali umesoma ili uwe na maisha mazuri.
Kwaiyo kila mtu aliyesoma ana maisha mazuri? Akili zako zinachosha ht kuzielewa, una nati zimelegea???
 
Usome mpaka uwe Dr halafu ulale nje stand. Yes ukisoma hadi uwe Dr lazima uwe na maisha mazuri bana na hapa simaanishi uwe kama bilgate Non,bali uweze hata kuwa na shelter. I think you know what i mean.
 
Back
Top Bottom