TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

Buriani Dr. Shika.
Walipokuçheka, tulikuzunguka na kukumbatia kwa upendo.
Walipokudhihaki, tulijipa moyo pamoja, mapito yakapita.
Leo umeenda , wanajidai ndio wanakujuuuuuuuuuuuuuuuuuuua.
Vomburu na wanafiki wakubwa, wanahizaya waliokosa haya hawa mahayawani.
1598300973047.jpg
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mauti ewe Mauti ukija kama hujaja.

Innalillah wainnailillah raijuun
 
Sasa hivi utaona ndugu nao kujifanya wana huruma wakati wa uhai hawakumsaidia hata matibabu.
Hata mimi huu unafki unanikera sana.
Wakati anaumwa alikuwa anahangaika mwenyewe sasa hivi amekufa eti anajitokeza msemaji wa familia,kabla ya hapo alikuwa wapi?
 
Sasa hivi utaona ndugu nao kujifanya wana huruma wakati wa uhai hawakumsaidia hata matibabu.
Tutuzame pande zote za shilingi. Pitia taarifa kumuhusu yeye na familia yake na utaona nini kiliendelea na kwa nini pengine hawakufanya hicho ulichotarajia.
 
Tutakukumbuka sana kwa ile kauli yako"900 itapendeza"pumzika kwa amani dr.shika
 
Ni mwanaume gani ataishi asione mauti? Zaburi 89:48

RIP Dr. Shika.
 
Njia ya kila mwenye pumzi, kila mtu ataoja mauti, Sema tu wewe umetangulia. R.I.P, Dr Shika.
 
Kuna jumbe zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kumuhusu Dr. Shika kwamba ametutoka na atazikwa kwao Nyehunge.
Innalillah wainna ilayh rajiuun....huko ndio kwao na Yale mabasi ya nyehunge?
 
Back
Top Bottom