TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

My heartfelt condolences to hisfamily and beloved ones..
 
Sasa hivi utaona ndugu nao kujifanya wana huruma wakati wa uhai hawakumsaidia hata matibabu.
Hizo ndiyo roho mbaya za sisi watu weusi,

Wanaona kukupa msaada ukiwa hai utapata mafanikio,na wao jambo hilo hawalitaki.

Lakini ukishakufa hata adui yako atakuja kuzika,,sababu ndani ya mioyo yao ni rahaa kabisa.
 
Daah maskini unatia huruma sana kwa hio bado upo nchi inayotawaliwa na mnyama kama unavyosema si ukamfukuze uingie wewe ulingoni
Ri

Rip kaiacha Tanzania bado inatawaliwa na Mbwa.
 
Resti ini pisi dokta Shika...


Siku ya mwisho tukionana itapendeza
 
Kuna jumbe zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kumuhusu dr.shika kwamba ametutoka na atazikwa kwao Nyehunge.
Mkuu kwao siyo NYEHUNGE ni NYANGUGE Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza. Tafadhali fanya sahihisho sehemu hiyo.
 
Tanzia Dr Luis shika mzee wa mia tisa itapendeza afariki dunia akitibiwa hospital source ITV
 
Back
Top Bottom