TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

Marehemu atakumbukwa kwa movie zake enzi za uhai wake

R.I.P bilionea Shika
 
IMG-20200824-WA0106.jpg
IMG-20200824-WA0106.jpg
 
mwenye pasword ya accounts zake za nje tuwasiliane tafadhali ...
 
Duh sasa nani anarithi zile trilioni, bilioni sijui mamilioni yake yale.
 
Ningeshangaa sana kama angedumu,,,,!!!r.I.p mzee
 
Kila chenye Mwanzo kina mwisho,Apumzike kwa Amani Dkt.Louis Shika
 
Ndoto zake zime zima mazimaa.
Mipango yake yote imeishia kwny pango la milele.
 
Dkt. Shika apate pumziko la Amani, nawapa Familia mkono wa Pole. Poleni ya kupoteza!
 
Back
Top Bottom