balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
AMNUT ikaundwa 1959 ije kuzuiya uhuru 1945 ama 1946? Hiyo miaka hata TANU haijazaliwa .cha!Pia shekhe leo utupe ufafanuzi wa chama cha kiislam jina sina uhakika sana AMNUT au kitu kama hicho(All Muslim...), katika kusoma tulikuwa kunaambiwa ni vyazo au sababu zilizochelewesha kwa Tanganyika kujipatia uhuru wake, jamaa walikuwa wanadai waingereza waendelee kutawala hadi pale waislam watakapo ona kuna usawa katika elimu na ni vitu vilichochelewesha sana Tanganyika kujitawala ungekuta tumepata uhuru hata miaka hiyo ya 1945-49