Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Staki kukuharibia jioni yako. Lissu hawezi kuwa rais kwa NEC hii mbona hamtaki kuelewa?
haaa haaaa hapana mkuu me sifungamani na upende wowote ila uchaguzi huu nitapiga kura aisee.Kijan kibichi
Mtu yeyote mwenye ubongo hawezi kuchagua ccm
Hivi aliyesema wa "darasa la saba wanatosha..." na wewe tumsikilize nani?Mbona wasomi wote wazamivu na wazoefu katika utawala wameondoka chama cha Mbowe, na hawakitaki kabisa. Imefikia muda sasa hivi wale wanaosema ni wasomi na bado wapo chama cha Mbowe, tunawiwa sana kukubali kama kweli ni wasomi?
Lakini ukweli unabaki wanabeba makaratasi ambayo huenda yanathamani kuliko kilichomo kichwani mwao. Na hata wenye kusemwa wana Degrees kichwani mwao, napata taabu sana yawezekana sana walicho kisoma kimebaki kwenye karatasi.
Naamini kichwa kinabaki kufugia nywele na kama zipo zilizobaki kidogo kwa bahati basi ni za kuvukia barabara na kutukana.
Huwezi kujivunia chama cha wasomi wakati uongozi wote wa juu Elimu haba. Mbowe- form six failure, Myika -College drop out, Mwalimu- Certificate ya Ilala Bungoni na Deputy wa SG Form four. Wajinga hawawezi kuendesha warevu labda wanaojiona werevu, uerevu wao ni wa mashaka. Mwili wa nyoka huongozwa na kichwa.
Kuna taabu hapa ila ushabiki umewajaa ukweli hamuoni, na ndani ya chama wasomi hawapewi ushirikiano na hawapendwi.
Tulikuwa Chadema tumekitumikia chama kwa hiyo tunasema mapungufu bila shaka.
24 Agosti 2020
Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba 2020 kwa ukaribu
Tukio la uchaguzi wa 2020 ni kuthibitisha wananchi ndiyo watawala halisi wa nchi hii Tanzania na siyo Bunge, wala taasisi ya uRais, udiwani. Hilo ni muhimu waTanzania wapiga kura kutambua ni watu-huru na wasisahau kuwa tukio la Oktoba watambue wasiuze uhuru wao kwa wagombea wanaopenda kutawala badala ya kuongoza.
Hivyo wapiga kura wawe makini kuchagua wagombea ambayo hawatajitwalia madaraka ya kuwaswaga wananchi kwa kigezo cha kuchaguliwa kwa kura.
Tukio la kupiga kura kisigeuzwe kuwa ni maridhiano ya kuuza uhuru na utu wao ili watawaliwe kwa miaka mitano bila uhuru au sauti ya kuwakosoa au kushirikishwa ktk maamuzi na wanasiasa watakaokuwa wameingia madarakani ktk serikali, bungeni au ktk mabaraza ya madiwani.
Tofauti za Mvuto wa wagombea katika uchaguzi wa Oktoba 2020 kutafuta wadhamini, hivyo wapiga kura Watanzania wanahisia gani kwa wagombea wanaotafuta udhamini na wale wa kimya kimya waliopitishwa na vyama wanavyovipenda na kuviamini vyama vyao.
Chama cha ANC cha Afrika ya Kusini kilipigwa marufuku na makaburu kwa muda mrefu lakini ANC walikuja kuibuka washindi huku Mandela mbali ya kuweko nje ya siasa kwa miaka 27 alichaguliwa kuwa Rais na pia ANC chama kilichopigwa marufuku ya siasa kilipata wabunge wengi. Uchaguzi huo wa kihistoria wa mwaka 1994 baada ya ubaguzi kuondolewa ulihusisha vyama 19 vya siasa nchi Afrika ya Kusini ANC, PAC, NP na :
Historia katika Sayansi ya Siasa ( Political Science) inaonesha vyama vinavyofungiwa kufanya siasa vina uwezekano wa kuibuka washindi kushika dola kupitia uchaguzi huru na wa haki.
Chama kilichopo madarakani kina fursa kutumia walichofanya kwa wananchi kushinda uchaguzi.
Lakini katika siasa chochote kinaweza kutokea bila kujali chama kilikuwa madarakani au katika katazo la kufanya siasa kushinda.
Ngazi ya ki-urais katika kuwania nafasi ya urais hata wakijitokeza watu 100 historia huonesha ni watu wawili tu ndiyo watakuwa wanachuana vikali.
Na mpaka sasa inaonesha uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ngumu na matokeo ya kustaajabisha sana anamalizi mwanazuoni huyu mahiri aliye mtu-huru katika uchambuzi wake wa eneo lake la taalumu ya uchambuzi wa tabia za binadamu na leo ameangazia eneo la siasa na chaguzi.
SOURCE: MwanaHalisi TV
Hayo ndio majibu yako kwa swali nililouliza?
Kama wasomi wako hivi kazi tunayo!!!

Nyie ni wale mnahama timu ikishindwa mechi, ikishinda mnarudi. Mnapenda mdebwedo hamtaki kuingia gharama za mapambano.Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...
Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?
Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.
Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Elimu bila maarifa ina faida gani UKASUKU? TUNAHITAJI WATU WENYE ELIMU NA MAARIFA. Pamoja na kutojibu swali husika, kusoma ni jambo moja kuelewa ni jambo jingine... read between the lines. Usijimezeshe kila kitu kijacho mbele yako!! Aliyesema "darasa la saba wanatosha au wasomi wa majalalani si mimi so don't panic.I replied so sababu cause unahalalisha kutokuwa na elimu na kuwa uongozi. angalia mchango wangu kuhusu elimu na uongozi, I reiterate that , as former Chadema member, we need to address the problems which create a lack of new focus for the outdated electoral system. It requires the revival of the full panoply of democratic rights and propagation. A fresh leadership approach is required for the realization of this necessary dispensation. And this needs education.
#Niyeye Magufuli out
Mtu yeyote alie athirika malinda lazima atamchagua lisu