Uchaguzi 2020 Dkt. Lwaitama atabiri mshindi Uchaguzi Mkuu 2020

25 Agosti 2020
Dodoma ,Tanzania

TUNDU LISSU APITISHWA na NEC Kugombea URAIS 2020

 
Staki kukuharibia jioni yako. Lissu hawezi kuwa rais kwa NEC hii mbona hamtaki kuelewa?

my point ndo hio, lissu cant win sio kwa sababu ya nec but its wide open upepo unavoenda, na ata huu uchaguzi asiposhinda hakuna uchaguzi mwingine atashinda
 
Mtu yeyote mwenye ubongo hawezi kuchagua ccm

Mbona wasomi wote wazamivu na wazoefu katika utawala wameondoka chama cha Mbowe, na hawakitaki kabisa. Imefikia muda sasa hivi wale wanaosema ni wasomi na bado wapo chama cha Mbowe, tunawiwa sana kukubali kama kweli ni wasomi?

Lakini ukweli unabaki wanabeba makaratasi ambayo huenda yanathamani kuliko kilichomo kichwani mwao. Na hata wenye kusemwa wana Degrees kichwani mwao, napata taabu sana yawezekana sana walicho kisoma kimebaki kwenye karatasi.

Naamini kichwa kinabaki kufugia nywele na kama zipo zilizobaki kidogo kwa bahati basi ni za kuvukia barabara na kutukana.

Huwezi kujivunia chama cha wasomi wakati uongozi wote wa juu Elimu haba. Mbowe- form six failure, Myika -College drop out, Mwalimu- Certificate ya Ilala Bungoni na Deputy wa SG Form four. Wajinga hawawezi kuendesha warevu labda wanaojiona werevu, uerevu wao ni wa mashaka. Mwili wa nyoka huongozwa na kichwa.

Kuna taabu hapa ila ushabiki umewajaa ukweli hamuoni, na ndani ya chama wasomi hawapewi ushirikiano na hawapendwi.

Tulikuwa Chadema tumekitumikia chama kwa hiyo tunasema mapungufu bila shaka.
 
27 September 2020
Chitemo , Dodoma

WAKAZI WA DODOMA WAELEZA MATATIZO YAO KWA MGOMBEA MWENZA


CHADEMA imekuwa kimbilio la waTanzania kuelezea matatizo yao ya Maendeleo ya Watu
 
Hivi aliyesema wa "darasa la saba wanatosha..." na wewe tumsikilize nani?
 
Acha kumwita Mwanazuoni mwite Mwanachadema aliyechanganyikiwa na Maisha
 
Hayo ndio majibu yako kwa swali nililouliza?
Kama wasomi wako hivi kazi tunayo!!!

I replied so sababu cause unahalalisha kutokuwa na elimu na kuwa uongozi. angalia mchango wangu kuhusu elimu na uongozi, I reiterate that , as former Chadema member, we need to address the problems which create a lack of new focus for the outdated electoral system. It requires the revival of the full panoply of democratic rights and propagation. A fresh leadership approach is required for the realization of this necessary dispensation. And this needs education.
 
Alikuwa mzima au kama kawaida alikuwa akiongozwa na kinywaji? Tunamjua bhana!
 
Nyie ni wale mnahama timu ikishindwa mechi, ikishinda mnarudi. Mnapenda mdebwedo hamtaki kuingia gharama za mapambano.
 
Elimu bila maarifa ina faida gani UKASUKU? TUNAHITAJI WATU WENYE ELIMU NA MAARIFA. Pamoja na kutojibu swali husika, kusoma ni jambo moja kuelewa ni jambo jingine... read between the lines. Usijimezeshe kila kitu kijacho mbele yako!! Aliyesema "darasa la saba wanatosha au wasomi wa majalalani si mimi so don't panic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…