Elections 2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

Camillo ni vijiji vichache ambavyo bado wamelala, watu wameanza kuamka, mwaka huu utashangaa kuona mabadiliko makubwa sana
 
Lowassa ndiye Rais ajaye, hawa wengine wanamsindikiza tu katika safari yake ya Matumaini.


MSALANI;
Miye huwa nakupinga sana maneno yako ila kwa hili, naona umepiga bull. Hao ni wapambe wa bibi arusi tu, hata wangejiremba vipi, ccm hawana mwingine atakayepita hapo ila huyu.
Hana maneono mengi ila ataushangaza umma huu wa wadanganyika kwani ataibuka kidedeya kuipeperusha hiyo bendera ya ccm. Huyu ndo pekee
 



Edward lowasa fisadi papa
 
ukitaka kujua nchi nzima upepo umebadilika baada ya kuonekana MAGUFULI amechukua form fanya tafiti ndogo kama ya kwangu piga simu mjini na vijiji usikie watu wanavyosema, watu wanasema baada ya miaka 50 tanzania inapata rais mwingine bora wa kuipeleka nchi inakotakiwa ,mungu mpe afya njema, asante ccm kuleta rais bora kabisa .
 
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.

Hakika umesema ukweli...hakika huyu ndiye tuliyekuwa tunamsubiri
 


Hazikutoshi wewe, tunamtaka rais mchapa kazi lkn ambaye uwezo wake kiakili ni nzuri ili kuondokana na marais wanaoingizwa choo cha kike na mawazari.
 
Kikweli kama Kikwete anataka kulala usingizi na asipate wasiwasi kama CCM itashinda, basi ampe huyu jamaa bendera...vinginevyo UKAWA inachukua nchi
 
Magufur anastahili na akipitishwa na ccm anaweza kutoa upinzan mkali kwa UKAWA na anastahili
 


wewe ni kiazi takwimu zote za wizara yake anazosoma bungeni wakati wa bajiti mpaka wabunge wote wanakubari huwa anazianda nani,waziri anayeonyesha bunge letu duniani kuwa ni la wasomi ni yeye peke yake.wezako tunaomba mungu atupe rais aina wa viongozi wa china ili tupate maendeleo wewe unaleta uchawi wako hapa.
 


mumezoe kupata rais wachora dili ofisi sasa mwaka huu tunampata rais mchapa kazi,mtajibeba mimi ni NCCR damu laki ili jembe ccm wakilipitisha urais tunawapa kwa kishindo we need a parson not a party.
 
magufur anastahili na akipitishwa na ccm anaweza kutoa upinzan mkali kwa ukawa na anastahili


mkuu huyu ndo roho pekee ya ccm na wabunge wake, wicheza watajibeba,huku mtaani kumezizima baada ya habari kufika kuwa jamaa kachukua form ni, hatari tunamtakia afya njema .
 
kikweli kama kikwete anataka kulala usingizi na asipate wasiwasi kama ccm itashinda, basi ampe huyu jamaa bendera...vinginevyo ukawa inachukua nchi


sio kikwete tu wanaccm wote na wabunge wote huyo ndo mtu pekee anayeweza kuwanadi kwenye majukwaa ya kampeini.
 
kama ccm itampitisha magufuri kwa uwezo wake wa kujibu hoja tutaomba mwaka huu mdahalo, wa wagombea wote tuone mtifuana wa kujibu hoja kutoka kichwani sio wale waliozoea kusoma adi nukta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…