Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa ndiye Rais ajaye, hawa wengine wanamsindikiza tu katika safari yake ya Matumaini.
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.
Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.
Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.
Lowassa ndiye Rais ajaye, hawa wengine wanamsindikiza tu katika safari yake ya Matumaini.
Mna akili za kubebena..hata choice ya meneno inaonyesha role model wako nani?Km hadi kutangaza nia hujaona kwamba magufuli anamiss sana solution ya issues ambazo hazijawahi tokea na zinazohitaji busara na uwezo wa kiakili kuja na jibu .Ni ngumu sana kusaidia hata pale alipojisema kwamba yeye atafuta ya ila iliyofail ya CCM .mbaya hakuna mmojawapo ya waliyoitengeneza.Mnalewa kirahisi sana CCM na umaarufu wa muda.
Weka akiba ya maneno. Huyu mtu ni presidential material. Ataushangaza umma wa Watanzania. Kuwa makini sana kutumia maneno hasa kwa mtu ambaye ni rais mtarajiwa.
haha huyu ni nyapara tuu .Ndio maana hana jipya anasubiri kupewa ilani na ccm ambayo imeandikwa km mkusanyiko wa magazeti.Pengine angetuambia alishiriki kiasi gani kutengeneza hizo ilani..tungejua km yeye ndie alizitengeneza na ndie atakeyekuwa kiongozi kusimamia mawazo yake.

Votes will talk.
magufur anastahili na akipitishwa na ccm anaweza kutoa upinzan mkali kwa ukawa na anastahili
Umenena vema mkuu...i can see the big future....
He is "the chosen one"
kikweli kama kikwete anataka kulala usingizi na asipate wasiwasi kama ccm itashinda, basi ampe huyu jamaa bendera...vinginevyo ukawa inachukua nchi
kama Magufuli,usiwasahau Sabasaba Moshingi na yule Bw mdogo wa shirika la nyumba kwenye serikali yakoTulipofikia anatakiwa rais atakayetenda kwa vitendo zaidi!