Elections 2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

Elections 2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

Mkuu hasira ya nini, matusi ya nini, jenga hoja.
Kama mtu amekabidhiwa wizara akauza jumba, akikabidhiwa nchi si atauza wilaya na mikoa?

Unajua swala la uuzaji wa Nyumba hii no oda ya rais na si swala la waziri
 
mumezoe kupata rais wachora dili ofisi sasa mwaka huu tunampata rais mchapa kazi,mtajibeba mimi ni NCCR damu laki ili jembe ccm wakilipitisha urais tunawapa kwa kishindo we need a parson not a party.
Haha..magufuli hachori dili?Lini mtaacha danganya wengine kwa chakula cha muda?Magufuli km magamba wengine hana uwezo wa kuongoza nchi ila kuongeza shida na kulind aufisadi km wengine.
 
mumezoe kupata rais wachora dili ofisi sasa mwaka huu tunampata rais mchapa kazi,mtajibeba mimi ni NCCR damu laki ili jembe ccm wakilipitisha urais tunawapa kwa kishindo we need a parson not a party.
Haha....hata machine na robot zinachapa kazi bila excuse na porojo kuwa serikali imelipa wakandarasi.Kwa akili zako tunaweza zipatia kuliko magufuli
 
kama ccm itampitisha magufuri kwa uwezo wake wa kujibu hoja tutaomba mwaka huu mdahalo, wa wagombea wote tuone mtifuana wa kujibu hoja kutoka kichwani sio wale waliozoea kusoma adi nukta.
Sidhani km magufuli atajibu hoja hata moja.Hizo habari za mbwembwe wakati makinda anawalinda kwa kuwafunga midomo wengine bungeni ktk mdahalao magufuli atalia apasuke.
 
Amina salum na membe tunaomba wakae pembeni wasitake kutupoteza kama huyo mkwere wao. Kwanza hata wananchi hawawajui ni kina nani hapa nchini.
 
Haha..magufuli hachori dili?Lini mtaacha danganya wengine kwa chakula cha muda?Magufuli km magamba wengine hana uwezo wa kuongoza nchi ila kuongeza shida na kulind aufisadi km wengine.

nakupa like. Magufuli akiwa raisi sasa kila siku atakuwa anapeleka matambo kwa nani, kila kitu kusifu serikari inayoongozwa Na jk
 
Ila ukweli nchi hii inatakiwa rais mkali naye ni magufu kwangu mimi naona anafaa
 
nakupa like. Magufuli akiwa raisi sasa kila siku atakuwa anapeleka matambo kwa nani, kila kitu kusifu serikari inayoongozwa Na jk
Mguufuli aliwahi toa hotuba analilia na kujichekekesha kwa Mbowe,akipewa raia km wa china si atamlamba miguu?akipewa queen elizabeth si ndio atapiga magoti?C`mon huyu jamaa ni robot na nyapara tuu hakuna mtu wa hata wa kujaribu urais..huyu mwehu aliwawahi piga kelele bungeni makinda akimlinda sipate ushindani..akadanganya kuwamba wakandarasi wameshalipwa na hivyo lazima wafanye kazi,,sasa ndio tunaona serikali aina madeni mbaya na zaidi aya hapo magufuli alikuwa kaidangaya watu kwani upanda mwingine alikuwa wkaiwaomba wafadhili wafananye kw amkopo..ila akipata media anadanganya watu?Magufuli ni laana ya nchi inayotumika kumwandalia Ritz 1 one nchi baada ya 10 yrs.
 
MSALANI;
Miye huwa nakupinga sana maneno yako ila kwa hili, naona umepiga bull. Hao ni wapambe wa bibi arusi tu, hata wangejiremba vipi, ccm hawana mwingine atakayepita hapo ila huyu.
Hana maneono mengi ila ataushangaza umma huu wa wadanganyika kwani ataibuka kidedeya kuipeperusha hiyo bendera ya ccm. Huyu ndo pekee
Nilikuwa naupitia huu uzi wa kitambo.

Mambo si mambo.
Ngoja niangalie hii channel
NATIONAL
GEOGRAPHIC
WILD
Penguin bwana
 
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.

Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.

Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala
😆😆😆😆
 
Mtu pekee anayeweza kuirudisha Tanzania kwenye msatari ni Magufuli. Hawa wengine wote ni joke tu!! Na mpaka sasa sielewi kwa nini hatumtumii huyu mtu.
Nani kakuzuia kumtumia?
 
Back
Top Bottom