Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.
Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.
Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.
Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM