citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Sabaya OyeeSabaya Tapeli katika Ubora wako, tayari ukuu wa mkoa, kwa kazi ya kufunga mashule yalio mengi Kilimanjaro na kuwajaza watoto uwanjani ili kulidanganya Mtupoli.
MaCCM hovyo sana mmechangia pakubwa kuiua CCM ya Magufuli Iliojifia.