Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maendeleo ya Kilimanjaro makubwa yawe ya kielimu, kibinafsi ,kibiashara,kiajira nk yalifanyika kipindi KIlimanjaro iko chini ya CCMKilimanjaro gani unayoisema wewe?
Taja mikoa 6 inayoongozwa na wabunge wa CCM tokea mfumo wa vyama vingi uanze,ambao unaouzidi mkoa wa Kilimanjaro kwa maendeleo.
Acha ubwege wa kusikiliza kwenye Fiesta za CCM,
Tembea uone.
Hawa hapa.Alieleta uzi huu ameshindwa kuambatanisha na kapicha,maana walijaza watoto under 18.
Hizi hapa,nyomi za watoto.Mikoa yote magufuli amejaza nyomi ambazo hazina uhalali pale mwanzo uvccm walijaribu kuzihalalisha hizo nyomi tukazikataa wenzako waliacha kupost hizo nyomi unazosema wameshajua huo mpango umeshafeli sijui wew unakwama wapi
CCM ina wanachama na wakereketwa wa rika zote tunabeba kuanzia wazazi mpaka watoto wao hatuachi mtu.Mikutano yetu wazazi wanakuja na watoto na wanawanunulia nguo za CCM KUONGEZA MAPATO KWA CHAMA .NDIO MAANA HUWEZI ONA CCM tunatembeza bakuli kuomba pesa mikutanoni kama nyie
Ambayo maendeleo hayo hayakupelekwa Mtera, Kongwa, Buchosa,Kishapu,Maswa, Bukombe; Yaani maendeleo yalifanywa Moshi tuu??Hayo maendeleo ya Kilimanjaro makubwa yawe ya kielimu, kibinafsi ,kibiashara,kiajira nk yalifanyika kipindi Kilimanjaro iko chini ya CCM
Nyomi hii hii ya kujaza wanafunzi, walimu na watumishi wa umma kwenye mikutanoKwan ni sehemu gani jpm alienda akakosa nyomi, jitafakari
Kwani wakulima wa korosho,kahawa,pamba, wafanyabiashara awafanyi kazi.🤣🤣🤣 Hebu fanya kazi.
WALIYAPELEKA baada ya kupewa fursa na CCM WAKIWA WAMEWEKWA kila sehemu yenye fursa na maeneo ya maamuzi na tenda za serikali kibaoAmbayo maendeleo hayo hayakupelekwa Mtera, Kongwa, Buchosa,Kishapu,Maswa, Bukombe; Yaani maendeleo yalifanywa Moshi tuu??
Acha kujifanya mjuaji, umewahi fanya Biashara gani ?Sera mbovu ndizo uleta umasikini nchini hata ukeshe unajituma.Ungejua mambo ya uchumi ningekupa shule
Hakika.Acha kujifanya mjuaji, umewahi fanya Biashara gani ?
Hayo Mambo ya uchumi, Ni uchumi wa makalio Au uchumi gani unazungumzia
Acha kua mjinga
Tutaona kama propaganda hizi za kipumbavu kabisaaa zitawapigia kura! Miaka 5 yote JPM alionyesha chuki za wazi wazi kwa Wachaga halafu jana bila mshipa wa soni anasema anawapenda sana Wachaga. Ukistajabu ya Polepole kwa MaCCM! Utashangaa ya Magufuli na Wachaga!Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.
Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.
Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.
Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
Sawa kabisa, Kwa hiyo Kishapu,Buchosa,Maswa, Kongwa, Mtera Hii Ilikuwa CCM kabla ya Mfumo wa Vyama vingi, Na baada ya Mfumo wa Vyama vingi vikaendelea Kuwa CCM, Yet bado huwezi linganisha naMOshi mjini; Sasa huoni kama kuna tatizo mahali mkuu??;Siri ilikuwa kuwa chini ya CCM waendelee kuwezeshwa na waendelee kuwezeshana ili waendelee kupeleka maendeleo kilimanjaro
Thus nasema we kula kulala au upo chuoni,mtu yeyeto anaechakarika ameiona Hali halisi tofauti na propaganda.Acha kujifanya mjuaji, umewahi fanya Biashara gani ?
Hayo Mambo ya uchumi, Ni uchumi wa makalio Au uchumi gani unazungumzia
Acha kua mjinga
Elimu bure sio maendeleo ya watu ??
Moshi waweza ilinganisha na jiji la mwanza sasa hivi kimaendeleo? MOshi hamna kituSawa kabisa, Kwa hiyo Kishapu,Buchosa,Maswa, Kongwa, Mtera Hii Ilikuwa CCM kabla ya Mfumo wa Vyama vingi, Na baada ya Mfumo wa Vyama vingi vikaendelea Kuwa CCM, Yet bado huwezi linganisha na MOshi mjini; Sasa huoni kama kuna tatizo mahali mkuu??;
Kwa mtazamo wa Maccm, Kongwa kwa Ndugayi kumeendelea sana kuliko Hai kwa Mbowe. MaCCM akili zenu zinatosha kumsifia JPM tu. Ndo maana kwa sasa mnakata viuno na uchumi wa Kati wakati hata posho ya book saba hamjaongezewa kuitetea CCM humu.Kilimanjaro wanataka maendeleo na kuingiza pesa na kupata fursa
Ujio wa CHADEMA umewatibulia kila kitu ambacho wali enjoy toka Tanzania ipate uhuru kwenye kila sekta
Kilimanjaro wanasema CHADEMA sio chama cha kawaida ni shetani na pepo lililotoka kuzimu kuja kwaharibia watu watu wa kilimanjaro Tanzania sababu toka lifike Tanzania hakuna sehemu mambo ya watu wa kilimanjaro yanakuwa mazuri iwe maofisini,kwenye biashara nk
Wameapa kutolipa kura hilo shetani tena kama Biblia inavyosema msimpe nafasi ibilisi
Kwa MBOWE KULIENDELEA kipindi CCM IKO MADARAKANI.Nenda sasa hivi ukaone na waulize wenyeji.Maendeleo yao waliyapata lini watakwambia wakati CCM ipo.WAULIZE SASA HIVI mna CHADEMA hali ikoje watakwambia hata kuwasikia hatutaki kuwasikiaKwa mtazamo wa Maccm, Kongwa kwa Ndugayi kumeendelea sana kuliko Hai kwa Mbowe. MaCCM akili zenu zinatosha kumsifia JPM tu. Ndo maana kwa sasa mnakata viuno na uchumi wa Kati wakati hata posho ya book saba hamjaongezewa kuitetea CCM humu.
Brother Usihamishe Magoli, Concern yangu ni kwenye Majimbo niliyokwambia hapo; Maana Ukisema Mwanza tayari ilishawahi kuchukuliwa na Upinzani japo mara moja, lakini pia Arusha Ilishawahi kuwa chini ya Upinzani.Moshi waweza ilinganisha na jiji la mwanza sasa hivi kimaendeleo? MOshi hamna kitu
Au moshi waweza ilinganisha na jiji la ARUSHA kimaendeleo sasa hivi?
Chato tu ina international Airport na hoteli za kitalii
sijui hata unaongelea mambo ya lini