My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Kwan we ndio unaechakalika peke yako tanzania nzima, Mbona unaiona hiy hali wewe tuuThus nasema we kula kulala au upo chuoni,mtu yeyeto anaechakarika ameiona Hali halisi tofauti na propaganda.
Kama wwe ni mnufaika wa upigaji dili wa awamu hii ni wachache lkn wengi wanalia na ugumu wa biashara zote unazoziona
Pesa ipo Mzee
Watu wananunua magari kila leo, Watu wanajaza mabaa kila kona, nk nk
Kwa kukushauri tuu
Endelea kukaa hapo Ukilalamika, kwanzia asubuhi mpk jioni mpk pale utakapo jiona you are totally wrong