mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah nafiki lililokubuhu hilo.Nafiki kweli hili naomba siku moja MUNGU aliadhibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah nafiki lililokubuhu hilo.Nafiki kweli hili naomba siku moja MUNGU aliadhibu.
Hakika mkuu,ngoja tuendelee kuendesha ma V8 yetu.Elimu bure sio maendeleo ya watu ??
Tuendelee kushikiria mabango pesa hakuna na kulalamila, itatusaidia sana
Moshi ni chuo cha siasa ndugu.Usijidanganye.Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.
Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.
Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.
Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
Aende bila ya Diamond na Ali Kiba aone aibu itakayo mkutaKwan ni sehemu gani jpm alienda akakosa nyomi, jitafakari
Namuona MC wa CCM Fiesta akiwa studioHakika mkuu,ngoja tuendelee kuendesha ma V8 yetu.View attachment 1608107
Kwan sasa hivi nchi haina raisi ?Ya nn kuwanyima haki wanafunzi ya kukosa vipindi Hali si wapiga kura.toka lini mgombea akawa mkuu wa nchi
Wapiga Dili hawana akili za kulalamiko, badilika kwanza ndio upewe madiliNipe connection ya kupiga dili hata ya kuandaa kongamano la kusifia tu ili nipunguze makali mkuu
Sasa ni dhahiri JPM atashinda kwa kishindo, hata Aljazeera wamenukuuWatanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa kwenye mkoa huo.
Hii ni ishara ya wazi kuwa atapata kura za kishindo mkoa wa Kilimanjaro katika uchaguzi wa wiki ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa hizo za uhakika ndani ya mkoa huo, kuna uwezekano mkubwa Chadema kwa mwaka huu isipate hata Mbunge mmoja katika mkoa wa Kilimanjaro. Ni kutokana na maji kuwa shingoni ndiyo maana Mbowe hajapata hata nafasi ya kuungana na Lissu kwenye kampeni. Yeye mwenyewe amesikika akisema mara nyingi kuwa anapambana na hali yake.
Taarifa za kiuchunguzi zinaeleza kuwa Chadema inatarajia kupata madiwani tu wachache kwenye mkoa huo.
Hongereni wanakilimanjaro kwa kuamua kupanda train la maendeleo na kusafiri na JPM. Chadema imewachelewesha sana. Mmefanya uamuzi Bora wa kwenda na JPM
Dunia nzima tajiri mkubwa katika nchi yeyote huwa serikali.Wachagga hawajakua wajinga kiasi hicho.Wao hujitafutia maendeleo wenyewe
Chadema hamueleweki, mnasema hamtumii wasanii, Sasa hiyo one love siyo ya msanii?Mshaurini MAGUFULI aanze kujifunza wimbo wa ONE LOVE, wimbo wa ukombozi, nchi inaende kukombolewa
View attachment 1607899
Umedanganyika kibwege sana !Sasa ni dhahiri JPM atashinda kwa kishindo, hata Aljazeera wamenukuu
Incumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017. Endelea ......
Opposition complains of repression as Tanzania heads to the polls
cc Erythrocyte Salary Slip Retired owomkyalo
Kisingizio tayari mnacho, mtadai mliibiwa kura HAKUNA kingine.Sawa ni watz, ila vyama vingne haviendi mikutanoni na wasanii na bado vinapata nyomi...thubutuni na nyie muone.
Sera zinapokuwa bora si lzm wote wawekeze kwenye madiniWapiga Dili hawana akili za kulalamiko, badilika kwanza ndio upewe madili
Kwa kukusaidia
Kuna uwekezaji kwnye vitaru vya Madini mererani
Mbona anaomba kura zetu si akae tuKwan sasa hivi nchi haina raisi ?
Kama inae ni Nani ?
Kikatiba Raisi anayo Mamlaka ya kuamua Jambo Lolote, ikiweno kuwaruhu wanafunzi
Nenda ukawe wakala achana na majungu ya JF. JPM hakuna wa kumshindaUmedanganyika kibwege sana !
Hana huo ubavu hata. Ungesema Chatco ningelikuelewaWatanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.