Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

Tundu Lissu aivunja ngome ya CCM Tanga
 
Wameelewa wapinzani kwamba hawawezi kushinda hata kiti kimoja wajiandae kisaikolojia Mana habari ndo hiyo
 

kitu LIVE
 
Hapo kwa shule nakataa jana masomo yalikua yanaendelea kama kawaida huku kwetu
Niko hapa Ussa river. Wanafunzi wa sekondari za serikali leo tangu saa 4 wako barabarni na uwanja wa Leganga. Ukiwauliza wanasema wameambiwa wakamshangilie rais.
 
Mshauri awe anaenda sehemu zote bila wasanii apate uhalisia wa kukubalika kwake, kutumia wasanii si hata Hashim Rungwe mzee wa wali angepata nyomi.
kwan barabaran alikua anapita na wasanii?

anyway apa vp? niongeze picha ama nkukere zaidi
 
 
Intelligent people.
 
Kilimanjaro ipi hiyo unaiongelea labda ya chato
 
Umri wako bado mdogo na unakuzuia kuyajua ya miaka Ile iliyopita na ya Sasa! Zao la kahawa limeuliwa kimkakati ili kuwafukarisha wakulima wa zao Hilo na kudumaza maendeleo ya Kasi ya wakulima na wakazi wa Kilimanjaro!
Hebu waza juu ya kahawa ya kagera na Bei take ilivyoshushwa tofauti na wakulima wa Uganda ambao Bei zao Hilo ipo juu kiasi kwamba wakulima wa kahawa kagera hawaruhusiwi kwenda kuuza kahawa yao huko! Sijui unalielewa lengo la kuwazuia? Kuwafukarisha na kudumaza maendeleo yao! Karibu uhabarike na acha ushabiki wa kitoto kwenye Maisha ya watu!
 
Huu msimu shule zingekuwa zinefungwa ccm wange koma.

Magufuli hajaongea na watu wazima tangu aanze kampeni.

Anaogea ni vitoto vya primary, vikiambiwa shangilieni, ni kelele bila kupumzika.
Utashangaa atashangaa utakavyopata kura nyingi ndipo utajua JPM anavyokubalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…