Lucy Joseph
Member
- Sep 20, 2020
- 47
- 31
Hebu peleka ujinga wako, lissu amekuwa wa kwanza kunadi vurugu, na kwa uwezo wa mungu tarehe 28 tutashinda na amani itaendelea kutawala....Aliyeongoza mashambulizi ya Lisu, kuuawa Azory, Ben etc ndiye anachochea fujo na wote wanamjua na juzi Lisu kamtaja wazi wazi
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Hii ni kweli kabisa kwani nchi isipokuwa na amani mambo mengi yanasimama na shughuli za maendeleo hivyo tunapaswa kuwa makini sana kuepuka vurugu zote.Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.
Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA[emoji736]
Akitenda HAKI hamna vurugu yoyote itakayo tokea.
Huna jipya Kijana na maneno yako ya Taarabu ya kila siku. USIHUKUMU USICHOKIJUAAliyeongoza mashambulizi ya Lisu, kuuawa Azory, Ben etc ndiye anachochea fujo na wote wanamjua na juzi Lisu kamtaja wazi wazi
Atasamehewa kwa makosa yote lakini siyo kwa mauaji na kupoteza watu. Namshangaa sana anapomtaja Mungu. Mungu hashikamani na wauaji.We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Wewe ni muongo una ushahidi gani Mana unaongea vitu ambavyo havina mashiko jiangalieni nyinyi wenyewe huwenda mnajihujumu.Aliyeongoza mashambulizi ya Lisu, kuuawa Azory, Ben etc ndiye anachochea fujo na wote wanamjua na juzi Lisu kamtaja wazi wazi
KURA YANGU KWA HERUFI KUBWA NI YA MAGUFULI KABISAMgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.
Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA[emoji736]
Kwenye maelezo yake yote naona ameliruka neno HAKI, kwanini? Nani amemdanganya AMANI inapatikana kwa kutisha watu badala ya kuhakikisha uwepo wa HAKI? Tuna Rais wa ajabu mno haijapata kutokea.Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.
Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA✅
Naona kabisa wewe ukiwezeshwa unaweza.Aongoze nchi kwa kufuata misingi ya Haki sawa kwa wote, Amani itakuja yenyewe
Angalia isikumwagikie.Wanaochochea fujo dawa yao inachemka
Huyo jamaa yenu sheria za bunge ndo zilimuondoa ubunge afu msilalamike wekeni sera kwa wananchi sio kulaumu tu watanzania wanataka sera za matumaini kwao.Nimemtaja nani? Sijamtaja mtu! All in all, by necessary implication ni yeye! Kwanini alimnyima hela za matibabu, kwanini alimfukuza ubunge?
Ni faraghaMbona inaonesha ushoga tuuu
Nimemtaja nani? Sijamtaja mtu! All in all, by necessary implication ni yeye! Kwanini alimnyima hela za matibabu, kwanini alimfukuza ubunge?
Huyo ni kiuno cha pweza kweli aiseee,MAGUFULI ANALETA MAENDELEO YEYE AMEKAZANIA UONGO TUU.We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Nani kamtaja je wewe unamjua mjomba au unaropoka tu hapa eeehAliyeongoza mashambulizi ya Lisu, kuuawa Azory, Ben etc ndiye anachochea fujo na wote wanamjua na juzi Lisu kamtaja wazi wazi
Dr.Magufuli kupitia serikali ya CCM amefanya mazuri mengi kwa kuwalenga watanzania wote HivyoAnakera kama bia yetu
Ongoza wewe basi kama haki hata ya kuchati humu ndani unaipata na haki ya kuishi unaipata sijui unataka nini kikubwa hapo mjombaAongoze nchi kwa kufuata misingi ya Haki sawa kwa wote, Amani itakuja yenyewe