Hivi nani anatafuta fujo?
Hamna aibu mnafundisha watoto wakapige kura feki. Na watu mnaopokea hela kufanya huu ujinga wazungu wakiwaita nyani mnalalamika, mtu mzima unapokea vi laki kadhaa unaenda kuuza nchi yako unasahau shida zote unazopitia miaka mitano, alafu tunakuj kuwapa wazungu lawama. Lawama huku kura feki tunaenda kupiga wenyewe tena tunajua kabisa kua ni feki kisa umelipwa vielfu kadhaa vya soda siku mbili tatu, akili za waafrika zimenishinda aisee, bongo sirudi ni stress tu kudeal na nyani wengi namna hii