Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

mbona mke ninaye, huyo unayemuita baba yako ni wa kufikia, baba yako ni mimi!
Wewe na unayejibizana nae tumieni hekima na lugha zenye staha - uchaguzi unafika kila mmoja atapigia upande aupendao - msitoane macho kwa sababu ya uchaguzi na vyama vya siasa
 
Inaanza haki ndo inakuja amani..bila haki hakuna amani.

Mfano wewe umefanya kazi na mtu kwa makubaliano ya ujira fulani,ukimaliza hiyo kazi vile inavyostahili inabidi upewe ujira wako(hiyo ndo haki yako) ukishapewa moyoni mwako utajisikia furaha na amami hapo hakutakua na mgogoro wowote(Amani imedumishwa) ila usipopewa ule ujira(haki) lazima utaanza lalamika au utaanza ugomvi(Umekosa Amani) kwahiyo usijitie upofu Haki huanza ndo amani inafuata...

Soma ilani.
Haiwezi kutaka haki wakati hakuna amani mjomba acha uchawi soma strategies ujue kipi kinatakiwa kianze katika mipango ya maendeleo hahahhaha
 
Wewe na unayejibizana nae tumieni hekima na lugha zenye staha - uchaguzi unafika kila mmoja atapigia upande aupendao - msitoane macho kwa sababu ya uchaguzi na vyama vya siasa
Tujionee manyaraaa
IMG-20201025-WA0019.jpg
 
CCM ndio wanaochochea fujo kwa
vitendo vyao kwa kukataa kuwaapish
a mawakala wa vyama vya upinzani
pasipo sababu za msingi
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Wewe una macho na masikio ila
huoni Wala kusikia
 
Inaanza haki ndo inakuja amani..bila haki hakuna amani.

Mfano wewe umefanya kazi na mtu kwa makubaliano ya ujira fulani,ukimaliza hiyo kazi vile inavyostahili inabidi upewe ujira wako(hiyo ndo haki yako) ukishapewa moyoni mwako utajisikia furaha na amami hapo hakutakua na mgogoro wowote(Amani imedumishwa) ila usipopewa ule ujira(haki) lazima utaanza lalamika au utaanza ugomvi(Umekosa Amani) kwahiyo usijitie upofu Haki huanza ndo amani inafuata...
Pasipo na amani hata hicho kibarua ungekipata mjomba.

Na sio kila mchafuko wa amani unasababishwa na kukosa haki hahahah fuatilia mambo mjomba
 
Magufuli mchana anahutubia Amani Usiku anaamrisha Wizi wa Kura na utekaji
 
"Mali zote za Waisilamu zikizoibiwa na BAKWATA kwa kushirikiana na CCM zitarejeshwa" ameyasema hayo Sheikh Ponda Issa Ponda
 
Back
Top Bottom