Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Chini ya utawala wa Magufuli watu wengi wamepotea na kuuwawa na kushambuliwa kwa risasi

Unaweza kuthibitisha hilo?
Na unaposema hivyo unalinganisha na utawala gani?
Una uhakika kwenye tawala zingine watu walikua hawapotei?

Upinzani ni tuunataka sana ila uwe upinzani wenye tija sio huu wa vibaraka wanaoshikiliwa akili na kina amstadam

2810 tukutane hapahapa kupeana pole na pongezi
 
Sheikh Ponda Issa Ponda asema Mungu anawapenda Waumini wanaokataa kudhulumiwa
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Kwa sheria ipi?
 
Haya ndio yatakayotupatia KURA na sio hujuma hizo zenu,mnataka mshindwe muingie mtaani,aiseee tunasema karibuni ila kitakachowakuta mtajilaumu sana.


Hhahahha mabomu ya machozi mtakufa nayo.View attachment 1611372View attachment 1611373
Mnaompenda jiwe wengi vilaza so sishangai.
Kuna kitu kimoja inabidi uelewe, mimi magufuli ashinde asishinde yote ni sawa kwangu, nachohitaji mimi ni kila kitu kiende kwa haki, sheria tuzifate kama tulivyoziandika, wizi usiwepo, hata akishinda kwa 99% as long as ni kura za kweli kapigiwa na wananchi nitamuunga mkono 100% kwa kua ndiyo demokrasia ilivyo. Ila kama wanachofanya sasa hivi mipango yote ya kuiba kura ni kweli na mnaunga mkono sababu tu mnampenda nyie ni wase***ge na ndiyo maana ni maskini hata siku moja hamtokuja kuendelea, huu ujinga upo nchi za kimaskini tu, nimeishi nchi zenye true democracy huwezi kuta ujinga huu ikija kwenye swala la election hata kama unampenda mtu akiiba unamgeuka hapohapo sio unaunga mkono wizi.

Leo mnacheka sababu ni magufuli, ni mbaya ila si mbaya kihivyo, siku ataondoka atakuja mtu mwenye tabia za Iddi Amini mtakuja kukumbuka umuhimu wa kua na good foundation, atafanya anachojisikia na by then itakua too late. Hili swala vilaza hua hamlielewi maana mnawaza elfu kumi mliyopewa leo tu, endeleeni na ushenzi mtakufa maskini, mimi sina shida kivile nina maisha mazuri tu huu ushenzi haunisumbui.
 
Mashehe Ubwabwa waungana na kuelekeza Mashambulizi yao dhidi Sheikh Mtetezi wa Umma Sheikh Ponda Issa Ponda

 
Back
Top Bottom