Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA
Ndugu Mtanzania Mwenzangu kwa pamoja tuna jukumu la Kuchagua Kiongozi ambaye ataweka mbele maslahi mapana ya Taifa letu na mwenye nia ya dhati ya kuliletea Maendeleo Taifa letu..Tuungane kwa Pamoja tukampigie Kura Ndugu Dr.John Pombe Magufuli ambaye ameonyesha dhahiri maono yake na uwajibikaji wake kwa maendeleo ya Taifa letu .Tar 28Oct2020 TUMCHAGUE DR.MAGUFULI KWA MASLAHI MAPANA YA TANZANIA....🙌🏻🙏🏼TUMPE MITANO TENA
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA
Yeye alivyo na roho ya kikatili ndo hachochei fujo?
 
Mstari wa mwisho ndio unaeleza dhumuni la post! Na sio ulichoanza kuandika!
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA[emoji736]
Mimi namkemea magufuli kwa kuendekeza ukanda na ukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA[emoji736]

Rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli anaona mbali sana hakuna maendeleo yoyote katika nchi yetu kama hakuna amani..watanzania waangalie tu nchi baadhi zenye vita,uchumi unashuka ,watu wanakufa tunapoteza nguvukazi, wazee wetu ,baba,mama na watoto wadogo wanaathirika sana na vita.Sasa hivi vyama pinzani wanaotaka kuchafua amani tuwapuuze na walatusiwasikilize tulinde amani ya Nchi yetu.
 
naomba kukazia hapo, Upendo ni nguvu yetu pia.
 
Ifikapo Oktoba ukiwa ndani ya chumba cha kupiga kura usipate shida sana Picha ya kwanza Katika kibox cha kwanza ni CCM utakuta picha ya mwanamama SAMIA SULUHU na inafatia picha ya DK.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI #magufuli mbele weka alama

White heavy check mark

ndani ya kibox #ChaguaMagufuli
 
Mimi namkemea magufuli kwa kuendekeza ukanda na ukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli anamaliza kipindi chake cha miaka mitano bila kuwepo na makundi ya udini wala ukabila. Katika majukwaa mbalimbali Rais Magufuli amekuwa akiwataka Watanzania kuwa wamoja, na kauli yake maarufu ni kwamba “Maendeleo hayana chama, dini, wala kabila.” Anatambua kwamba nchi ikishatumbukia katika udini na ukabila, basi hapatakuwa na Tanzania ya Watanzania hivyo kwa kauli yake hii Watanzania wamekuwa wamoja na ni umoja huu uliyowafanya Watanzania kwa pamoja kuwa na amani.
 
Ifikapo Oktoba ukiwa ndani ya chumba cha kupiga kura usipate shida sana Picha ya kwanza Katika kibox cha kwanza ni CCM utakuta picha ya mwanamama SAMIA SULUHU na inafatia picha ya DK.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI #magufuli mbele weka alama

White heavy check mark

ndani ya kibox #ChaguaMagufuli
 
Shekhe Ponda Issa Ponda anasema Professa Assad ajiandae na Uwaziri wa Fedha
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.

Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.

Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA[emoji736]
Ni Sabaya
 
Aongoze nchi kwa kufuata misingi ya Haki sawa kwa wote, Amani itakuja yenyewe

Rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli anaona mbali sana hakuna maendeleo yoyote katika nchi yetu kama hakuna amani..watanzania waangalie tu nchi baadhi zenye vita,uchumi unashuka ,watu wanakufa tunapoteza nguvukazi, wazee wetu ,baba,mama na watoto wadogo wanaathirika sana na vita.Sasa hivi vyama pinzani wanaotaka kuchafua amani tuwapuuze na walatusiwasikilize tulinde amani ya Nchi yetu.

Hizo Nchi Ulizozitaja Kukosa Amani Je Unaweza Kuniambia Sababu Ya Kukosekana Amani?!!!

Au Kulikuwa Hakuna AMANI na ndio maana Kumesababisha kusiwe na AMANI?!!!

JPM hoyee
 
HAKUNA MTU ALIFUKUZWA ALIJIFUKUZISHA
sheria unazifahamu mtanzania ww au mbligiji mwenzetu

Unaidharau Belgium........ inaweza kuilisha Tazania miaka 100 kila mtanzania anakuna laki kila siku!😀😀😀😀😀😀😀

Belgium is the sixth richest country in the world: this has been confirmed in the recent edition of the Allianz Global Wealth Report 2016. GDP per capita in Belgium is expected to reach 46000.00 USD by the end of 2020,​

GDP in Tanzania is expected to reach 50.00 USD Billion by the end of 2020

Belgium country profile​

Published2 October
Map of Belgium

For such a small country, Belgium has been a major European battleground over the centuries.
Occupied by Germany during the First and Second World Wars, it has experienced an economic boom in the past 50 years to become a model Western European liberal democracy.
However, there has also been a growing divide between the mainly Dutch-speaking north and the mainly French-speaking south, as well as concerns about the growth of Islamic extremism among immigrant communities in the capital, Brussels.
Brussels is the headquarters of the European Union and the North Atlantic Treaty Organisation (Nato), making it the polyglot home of an army of international diplomats and civil servants.

Key facts - Kingdom of Belgium​

Capital: Brussels​

  • Population 11.5 million
  • Area 30,528 sq km
  • Major languages Dutch, French
  • Life expectancy 79 years (men), 84 years (women)
  • Currency euro
  • Major religion Christianity
UN, World Bank
 
Back
Top Bottom