Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Ifikapo Oktoba ukiwa ndani ya chumba cha kupiga kura usipate shida sana
Picha ya kwanza Katika kibox cha kwanza ni CCM utakuta picha ya mwanamama SAMIA SULUHU na inafatia picha ya DK.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI #magufuli mbele weka alama[emoji736] ndani ya kibox
#ChaguaMagufuli
Nitakua mjinga sana.
Nimeisubiri tar 28/10 kwa miaka 4 sasa,halafu niende nikampigie kura JPM..labda niwe nimerukwa na akili ila kwa akili zangu timamu..HAPANA...LISSU ANATOSHA,MITANO KWANZA
 
Nitakua mjinga sana.
Nimeisubiri tar 28/10 kwa miaka 4 sasa,halafu niende nikampigie kura JPM..labda niwe nimerukwa na akili ila kwa akili zangu timamu..HAPANA...LISSU ANATOSHA,MITANO KWANZA
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atapenda huu udikiteta mateso manyanyaso ya miaka mitano yaendelee tena
 
Screenshot_20201025-170231.png
Screenshot_20201025-165426.png
Screenshot_20201024-165025.png
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Mbona kama unafurahi kwa lisu kushambuliwa?
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Ni wapi ilipoandikwa "kushika bunduki anamlenga..." katika bandiko ulilolijibu hapa?

Hili linakuonyesha ulimbukeni uliokujaa.
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani yakiwemo America German China India Canada Oman na pengine ingekuwa na kura ya veto, lakini chini ya CCM pesa zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso kibao, hakuna maendeleo hawataki Nchi ipige hatua kwani hata hayo maendeleo kidogo yamejaa ufisadi mkubwa, kwenye flyover SGR bwawa la umeme ununuzi wa Ndege kuna 10% zao na ufisadi mkubwa hata tenda nyingi ni kampuni zao wenyewe wakilipwa pesa inazunguka inamrudia mwenyewe mtukufu Mkoloni kaburu mweusi tokea chato, CCM ni ile ile ukoo wa panya baba mama mtoto wote ni wezi na sasa wameamua kutumia Polisiccm NECCCM Tumeccm kubaka uchaguzi wanatumia njia haramu za kishetani kusalia madarakani lakini wamesahau kuwa mwaka 2020 Duniani yote inawatizama kwa jicho la tatu.
 
Ushetani wote wa CCM tayari upo ICC The Hague mara baada ya uchaguzi OCD RPC wote pamoja na Polisiccm wadogo wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo hovyo kuwaonea wapinzani watafikishwa huko kusomewa mashitaka yao
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.

Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.

Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA✅
Huu upuuzi anauamini nani? Anayetishia amani ya nchi si mwingine ni yule anayepindisha haki kwa kuharibu uhuru wa watu kuchagua viongozi wao naye si mwingine ni magu. Anyamaze.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni vigumu Tanzania kupiga hatua kimaendeleo chini ya CCM kwani CCM hutumia pesa za viwanda na pesa zote za walipa kodi kudidimiza demokrasia na kutaka warejeshe mfumo wa chama kimoja
 
Anafanya maovu ya kutisha Nchini halafu anajifanya kama vile yeye si mhusika wa Nchi kukaribia kuingia kwenye machafuko ya kutisha.
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.

Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.

Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA✅
 
Huu upuuzi anauamini nani? Anayetishia amani ya nchi si mwingine ni yule anayepindisha haki kwa kuharibu uhuru wa watu kuchagua viongozi wao naye si mwingine ni magu. Anyamaze.
Pasipo na haki hakuna Amani na watesi CCM ndiyo wameivuruga Nchi kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm kutaka kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
 
Anafanya maovu ya kutisha Nchini halafu anajifanya kama vile yeye si mhusika wa Nchi kukaribia kuingia kwenye machafuko ya kutisha.

Chanzo cha vurugu uvunjifu wa Amani ni CCM yenyewe si vinginevyo
 
Huo ndiyo ukweli na yeye ndiye kinara wa maovu yote ya kutisha Nchini ikiwemo wizi, ufisadi na mauaji.
Chanzo cha vurugu uvunjifu wa Amani ni CCM yenyewe si vinginevyo
 
Amani wakati watu wameshapanga mkakati wa kuhujumu uchaguzi. This is very stupid.
 
Inasikitisha sana kuona katika Nchi huru kwa miaka zaidi ya 50 bado Watanzania tunanyanyaswa na hawa dhalimu utadhani raia wamekuwa ni wakimbizi.
Tutaelewana tu
 
Back
Top Bottom