minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wewe ni mnufaika wa blackmail za kuwabambikia wafadhili kodi TRA lazima utete ufedhuri wakoPole sana aiseee,kura yako kwa magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mnufaika wa blackmail za kuwabambikia wafadhili kodi TRA lazima utete ufedhuri wakoPole sana aiseee,kura yako kwa magufuli
Nitakua mjinga sana.Ifikapo Oktoba ukiwa ndani ya chumba cha kupiga kura usipate shida sana
Picha ya kwanza Katika kibox cha kwanza ni CCM utakuta picha ya mwanamama SAMIA SULUHU na inafatia picha ya DK.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI #magufuli mbele weka alama[emoji736] ndani ya kibox
#ChaguaMagufuli
Hivyo ni vyombo binafsi vya CCM ni kama Tbccmakemee tumeccm kwanza na wakurugenzi pamoja na polisiccm
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atapenda huu udikiteta mateso manyanyaso ya miaka mitano yaendelee tenaNitakua mjinga sana.
Nimeisubiri tar 28/10 kwa miaka 4 sasa,halafu niende nikampigie kura JPM..labda niwe nimerukwa na akili ila kwa akili zangu timamu..HAPANA...LISSU ANATOSHA,MITANO KWANZA
Mbona kama unafurahi kwa lisu kushambuliwa?We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Ni wapi ilipoandikwa "kushika bunduki anamlenga..." katika bandiko ulilolijibu hapa?We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Huu upuuzi anauamini nani? Anayetishia amani ya nchi si mwingine ni yule anayepindisha haki kwa kuharibu uhuru wa watu kuchagua viongozi wao naye si mwingine ni magu. Anyamaze.Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.
Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA✅
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.
Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA✅
Pasipo na haki hakuna Amani na watesi CCM ndiyo wameivuruga Nchi kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm kutaka kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetaniHuu upuuzi anauamini nani? Anayetishia amani ya nchi si mwingine ni yule anayepindisha haki kwa kuharibu uhuru wa watu kuchagua viongozi wao naye si mwingine ni magu. Anyamaze.
Ngoja nimblock kabisa. asante kwa ushauri
Anafanya maovu ya kutisha Nchini halafu anajifanya kama vile yeye si mhusika wa Nchi kukaribia kuingia kwenye machafuko ya kutisha.
Chanzo cha vurugu uvunjifu wa Amani ni CCM yenyewe si vinginevyo
Tutaelewana tu
Labda ulikuwa unatamani atumie njia zipi ,mana hadi kufikia hapa Taifa hili linaongozwa kwa misingi ya haki na usawa na tuna amani .Aongoze nchi kwa kufuata misingi ya Haki sawa kwa wote, Amani itakuja yenyewe