Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

...Danny Faure aliyeshindwa alizaliwa Uganda na kuhamia Seychelles akiwa mdogo . Licha ya yeye kuiletea Seychelles maendeleo lakini Wananch wameona apumzike na wamemshukuru...
 
Kuwashabikia wagombea na vyama vinavyohamasisha na kuchochea uvunjifu wa Amani ni uwendawazimu.
Nachelea kusema twenzetu na Magufuli.
Chagua CCM, Chagua Magufuli.
 
mzee mnafki sana huyu na keshokutwa nitamnyoosha
Mnafiki wewe na utajinyoosha mwenyewe, kwa maana sisi wengine tutampigia kura Magufuli na atashinda kwa uwezo wa Mungu, halafu utaumbuka wewe pale utakapoumwa na utaenda kutibiwa kwenye hospitali ya serikali.
 
Fikra za kiboya kabisa hizi, yani unaacha kumsifia mzazi wako unaenda kusifia mzazi wa watu wengine kwa hoja za kiboya kabisa. Nenda ubelgiji ukaolewe sasa
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Kama imeamriwa hivyo ni hatari. Safari mpaka jimboni masanduku yamebadirishwa tayari. Chezea CCM wewe!
 
Toka mbwa
 
HAKIka nami naungana na muandishi kua hakuna haja kabisa ya sisi watanzania kurubuniwa kuharibu amani ya nchi yetu,lakini pia bado tuna mengi ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…