Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda


Yaan watu wamekuwa vipofu hata penye ukweli
Wamelaaniwa na vizazi vyao wote
 
Kwanza kwanini MATAGA wako online??? Inamaana waliamini maneno ya kaka kigogo wakadownload na wao??? Wanafiki sana madogo hawa
Simu Original haihitaji VPN, sisi tupo online WhatsAP, Facebook, Instagram na BBM
 
Afrika nzima inaitumia Tanzania kama mfano, ushindi wetu ni ushindi wao
 
Amani, utulivu na Usalama wa nchi ndicho kipaombele. Kama internet imezimwa, mbona upo online
 
Amani, utulivu na Usalama wa nchi ndicho kipaombele. Kama internet imezimwa, mbona upo online
Amani,utulivu na usalama ni tunda la haki.Kama haki haipo hakuwezi kukawepo na amani,utulivu na usalama.
 
Ofcourse they are all Hustlers
 
Amani,utulivu na usalama ni tunda la haki.Kama haki haipo hakuwezi kukawepo na amani,utulivu na usalama.
Tangu lini mwanadamu akatoa haki?, Haki ni mbinguni tu. Unadhani huko kwa mabeberu haki IPO?. Kuna wakati Haki huminywa ili Amani itawale. Mfano: uwezi kumpa mwanao wa kike haki ya kulala nje, hatamaliza shule, atabeba mimba na amani ya familiya itatoweka
 

Usitumie mifano legelege/isiyo sahihi kuelezea mambo ya maana!Kwa nini umpe mtoto mdogo haki ya kulala nje?Kwani si inajulikana kuwa watoto wadogo ambao wako chini ya miaka 18 kisheria na kimaadili hawapaswi kulala nje?

Kumruhusu mtoto mdogo kulala nje ni kumnyima haki yake ya msingi ya kulala ndani kwa sababu sheria inamtaka alale ndani na utakuwa unatafuta matatizo.Mabeberu kushindwa kuwa na haki haifanyi kukosekana kwa haki Tanzania liwe ni jambo sahihi,two wrongs don't make a right.

Kwa hiyo huwezi kuminya haki ili amani itawale.
 
Mungu ibariki Tanzania

Mungu ibariki Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…