Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Alizoea huko Chatto kupita bila kupingwa hivyo muda wake wote alikuwa anaota kuwa pengine hata URAIS atapita bila kutoa jasho!! Alifanikiwa kuwahonga wakina Cheyo na Mrema, waunga mkono juhudi kwa njaa zao lakini wazalendo wa kweli walikataa rushwa yake na kumpinga!!!!