Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa, wangapi mtanipitisha bila Kupingwa? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Kwanini mtu wa aina hii ndiye anapewa nafasi ya kua kiongozi mkubwa? Kwanini taifa letu tunataka kutolewa nje ya mstari na mtu mmoja? [emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Huyu JPM amepita hapa Misungwi hapa mkoani mwanza akionekana kufurahia utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa. Amesikika akisema "Najua hapa wameshapata bila kupingwa na najua kuna mapingamizi NEC, labda kwa sehemu ziingine lakini hapa wameshapata bia kupingwa"
Huyu anayeongea haya ndiye Mteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi,huyu ndiye Mteuzi wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na makamishna wake. Kwanini huyu bwana anataka kutupeleka siko? Yeye ndiye anayeagiza watu waenguliwe wapite bila kupingwa?
Kuenguliwa zaidi ya wagombea 100 wa ubunge na wagombea udiwani zaidi ya kata 1000 kwa vyama vya upinzani kuna mkono wa huyu bwana?
Kwanini mtu wa aina hii ndiye anapewa nafasi ya kua kiongozi mkubwa? Kwanini taifa letu tunataka kutolewa nje ya mstari na mtu mmoja?
Huyu JPM amepita hapa Misungwi hapa mkoani mwanza akionekana kufurahia utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa. Amesikika akisema "Najua hapa wameshapata bila kupingwa na najua kuna mapingamizi NEC, labda kwa sehemu ziingine lakini hapa wameshapata bia kupingwa"
Huyu anayeongea haya ndiye Mteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi,huyu ndiye Mteuzi wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na makamishna wake. Kwanini huyu bwana anataka kutupeleka siko? Yeye ndiye anayeagiza watu waenguliwe wapite bila kupingwa?
Kuenguliwa zaidi ya wagombea 100 wa ubunge na wagombea udiwani zaidi ya kata 1000 kwa vyama vya upinzani kuna mkono wa huyu bwana?
Kwanini mtu wa aina hii ndiye anapewa nafasi ya kua kiongozi mkubwa? Kwanini taifa letu tunataka kutolewa nje ya mstari na mtu mmoja?
Hizi statement zote tunazikusanya kama ushahidi. Wanatuona watanzania mazezeta sanaHuyu JPM amepita hapa Misungwi hapa mkoani mwanza akionekana kufurahia utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa. Amesikika akisema "Najua hapa wameshapata bila kupingwa na najua kuna mapingamizi NEC, labda kwa sehemu ziingine lakini hapa wameshapata bia kupingwa"....
Hizi takataka za CCM zinawaza njaa tu ndiyo maana kichwani hakuna kitu.Hii itakusaidia upate mkate wa kula na wanao
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka wanamisungwi kuchagua Rais, mbunge na diwani kutoka CCM ili waendeleze maendeleo yaliyo katika ilani ya uchaguzi.