mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Mapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari, kutojali maslahi ya wafanyakazi, n.k.
Ni dhahiri kwamba mapungufu haya ambayo Tundu Lissu ameyashikia bango yatampunguzia JPM kura nyingi na kumkoshesha tamanio lake la kushinda kwa kishindo - 90%.
Je, kuna uwezekanao JPM akarekebisha mapungufu haya kwenye awamu yake ya 2 na ya mwisho?