Hakuna mapungufu mambo yaendelee hivi hivi mpaka tuwe kama UlayaMapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji
wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari, kutojali maslahi ya wafanyakazi, n.k.
Ni dhahiri kwamba mapungufu haya ambayo Tundu Lissu ameyashikia bango yatampunguzia JPM kura nyingi na kumkoshesha tamanio lake la kushinda kwa kishindo - 90%.
Je, kuna uwezekanao JPM akarekebisha mapungufu haya kwenye awamu yake ya 2 na ya mwisho?
Hawezi sababu haitaji Tena kura zetu so atatumaliza atatushughulikia kweli kweli Hadi tuchakae Kama njia ya kulipiza kisasi kwa watz kujaa kwenye mikutano ya Lisu.Kanda ya ziwa wajiandae ya kimara ,njia pekee na salama ili nyumba yako iwe salamaMapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji
wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari, kutojali maslahi ya wafanyakazi, n.k.
Ni dhahiri kwamba mapungufu haya ambayo Tundu Lissu ameyashikia bango yatampunguzia JPM kura nyingi na kumkoshesha tamanio lake la kushinda kwa kishindo - 90%.
Je, kuna uwezekanao JPM akarekebisha mapungufu haya kwenye awamu yake ya 2 na ya mwisho?
Sio kwa tz ya leoTunampango atawale milele, katiba mbona tunaibadili tu.!
Kwa sera zipi hizo hizi za ujamaaHakuna mapungufu mambo yaendelee hivi hivi mpaka tuwe kama Ulaya
True hasa kwa Jamii ya watu educated and civilizedHalafu, wengi hawaliwazii hili! Huyu bwana hiyo awamu ya mwisho, atakuwa mbogo kweli. Hakuna wa kununuliwa, kisa KUUNGA MKONO JUHUDI, wala nini. Kwani anajua hata kuja kuomba kura yako. Anataka aiache Tanzania kwa vitu vya kuonekana, na kutajwa yeye, bila kujali hiyo hela ya kuyafanyia hayo KAMKABA nani, hata ikibidi watu wafe!
Kwa kweli, hao wanaomshabikia na kumpigania mitano tena, watastahili lawama!
Kwa usalama wetu, huyu mtu hafai kurudi tena!
Hbr ndo hiyo upende usipende.!Sio kwa tz ya leo
Why mnaomba msaada policeLisu ni debe tupu, huyu tutamshangaza oktoba! Muacheni tu Hataamini akisikia amepata 20%
Kwenye ilani hakuna ukurasa wa uhuru, haki na maendeleo ya watuMapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji
wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari, kutojali maslahi ya wafanyakazi, n.k.
Ni dhahiri kwamba mapungufu haya ambayo Tundu Lissu ameyashikia bango yatampunguzia JPM kura nyingi na kumkoshesha tamanio lake la kushinda kwa kishindo - 90%.
Je, kuna uwezekanao JPM akarekebisha mapungufu haya kwenye awamu yake ya 2 na ya mwisho?
Kipi kilichojengwa huoni atamuachia kazi ngumu Sana ajae kuireplace nchi kwenye mstari yaaniHbr ndo hiyo upende usipende.!
Akitoka Jpm nani ataweza kuijenga nchi ambayo ilikua shamba la bibi!??
Ndo maana inabid aendelee yeye tu kwa sababu atawachia kazi kubwa.Kipi kilichojengwa huoni atamuachia kazi ngumu Sana ajae kuireplace nchi kwenye mstari yaani
. kujenga upya demokrasia
.Kujenga upya diplomasia
. kurejesha furaha ya wengi
. kurejesha sekta binafsi
. kurejesha umoja wa kitaifa
.
Apewe hata u site foreman asimamie Barbara zetu zijengweApewe ka kazi ka kusimamia ujenzi wa barabara vijijini hii nadhani ataimudu japo kidogo .
… ..kwa hiyo hata kufa?Ndo maana inabid aendelee yeye tu kwa sababu atawachia kazi kubwa.
Ya nn yote hiyo!?
Tanzania ni tajiri na ili huu utajiri utumike vizuri kuleta maendeleo ni miaka mingine 5 ya DrMapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji
wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari, kutojali maslahi ya wafanyakazi, n.k.
Ni dhahiri kwamba mapungufu haya ambayo Tundu Lissu ameyashikia bango yatampunguzia JPM kura nyingi na kumkoshesha tamanio lake la kushinda kwa kishindo - 90%.
Je, kuna uwezekanao JPM akarekebisha mapungufu haya kwenye awamu yake ya 2 na ya mwisho?
We umesikia wapi?anaenda awamu ya pili?Mapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni uminywaji wa demokrasia, kwa mfano ukandamizaji
wa vyama vya upinzani, udhibiti wa vyombo vya habari, kutojali maslahi ya wafanyakazi, n.k.
Ni dhahiri kwamba mapungufu haya ambayo Tundu Lissu ameyashikia bango yatampunguzia JPM kura nyingi na kumkoshesha tamanio lake la kushinda kwa kishindo - 90%.
Je, kuna uwezekanao JPM akarekebisha mapungufu haya kwenye awamu yake ya 2 na ya mwisho?
Hatuwazii hilo,… ..kwa hiyo hata kufa?
Kazi kubwa Sana angalau kuirejesha Kama alipoiacha jkNdo maana inabid aendelee yeye tu kwa sababu atawachia kazi kubwa.
Ya nn yote hiyo!?