Dkt. Magufuli ana mpango wa kubadilika awamu ya pili?

Tabia ya mtu ngozi ukikosea kuoa utalia maisha yako yote
 
Tunampango atawale milele, katiba mbona tunaibadili tu.!
 
Hakuna mapungufu mambo yaendelee hivi hivi mpaka tuwe kama Ulaya
 
Hawezi sababu haitaji Tena kura zetu so atatumaliza atatushughulikia kweli kweli Hadi tuchakae Kama njia ya kulipiza kisasi kwa watz kujaa kwenye mikutano ya Lisu.Kanda ya ziwa wajiandae ya kimara ,njia pekee na salama ili nyumba yako iwe salama
 
True hasa kwa Jamii ya watu educated and civilized
 
Kwenye ilani hakuna ukurasa wa uhuru, haki na maendeleo ya watu
 
Hbr ndo hiyo upende usipende.!

Akitoka Jpm nani ataweza kuijenga nchi ambayo ilikua shamba la bibi!??
Kipi kilichojengwa huoni atamuachia kazi ngumu Sana ajae kuireplace nchi kwenye mstari yaani
. kujenga upya demokrasia
.Kujenga upya diplomasia
. kurejesha furaha ya wengi
. kurejesha sekta binafsi
. kurejesha umoja wa kitaifa
.
 
Magufuli ni yule yule na ataendelea kuwa yuleyule wa tangu wizara ya ujenzi...ambaye ukweli lazima usemwe kama ni koleo anaita koleo na sio "kijiko kikubwa" Miaka mitano tupo naye na kwa taarifa yako yupo ajaye baada ya 2025 ambaye hata Magufuli hawezi kufunga kamba za viatu vyake, yule abatizaye kwa maji na moto...naye ni Kassim Mjaliwa! Wavivu wapenda vya kudaka, wazee wa 10% jiandae kuhamia Mogadishu!
 
Kipi kilichojengwa huoni atamuachia kazi ngumu Sana ajae kuireplace nchi kwenye mstari yaani
. kujenga upya demokrasia
.Kujenga upya diplomasia
. kurejesha furaha ya wengi
. kurejesha sekta binafsi
. kurejesha umoja wa kitaifa
.
Ndo maana inabid aendelee yeye tu kwa sababu atawachia kazi kubwa.

Ya nn yote hiyo!?
 
Tanzania ni tajiri na ili huu utajiri utumike vizuri kuleta maendeleo ni miaka mingine 5 ya Dr
 
Sisi wapiga kura tunajua nani tutampa kura zetu

Tabia za hawa majanga wawili tunazijua vyema

Kwahiyo, whenever you havi two evils you better choose the lesser One

Kiukweli wajiandae tu kisaikolojia na ikumbukwe kuwa sisi hatupangiwi, ni wapiga kura tunao jiamini
 
We umesikia wapi?anaenda awamu ya pili?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…