Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,495 Reaction score 1,803 Oct 13, 2020 #41 Sio yeye tuu, hata ingekuwa mimi sina haja ya kujirekebisha sababu sikuhitaji tena wewe mpiga kura. Natafanya ya kwangu utamalizia uchungu kwa mafanikio yangu kwa atakae kuja kukuomba kura.
Sio yeye tuu, hata ingekuwa mimi sina haja ya kujirekebisha sababu sikuhitaji tena wewe mpiga kura. Natafanya ya kwangu utamalizia uchungu kwa mafanikio yangu kwa atakae kuja kukuomba kura.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Oct 13, 2020 #42 Shetani hajawahi kuwa mwema!
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,495 Reaction score 1,803 Oct 13, 2020 #43 jo mose said: Kazi kubwa Sana angalau kuirejesha Kama alipoiacha jk Click to expand... Unatamani Tanzania aliyoiacha JK? kweli democrasia mtu huchagua kwa anacho jisikia nacho.
jo mose said: Kazi kubwa Sana angalau kuirejesha Kama alipoiacha jk Click to expand... Unatamani Tanzania aliyoiacha JK? kweli democrasia mtu huchagua kwa anacho jisikia nacho.
J jo mose JF-Expert Member Joined Aug 5, 2020 Posts 3,476 Reaction score 4,076 Oct 13, 2020 #44 Gerald .M Magembe said: Unatamani Tanzania aliyoiacha JK? kweli democrasia mtu huchagua kwa anacho jisikia nacho. Click to expand... Sasa utalinganisha na hii iliyofeli kila idara zaidi ya kujifichia kwenye propaganda feki kwa kuzuia mianya ya habari kuficha madudu yao
Gerald .M Magembe said: Unatamani Tanzania aliyoiacha JK? kweli democrasia mtu huchagua kwa anacho jisikia nacho. Click to expand... Sasa utalinganisha na hii iliyofeli kila idara zaidi ya kujifichia kwenye propaganda feki kwa kuzuia mianya ya habari kuficha madudu yao