Dkt. Magufuli anakubalika zaidi Kagera, mengineyo ni propaganda

Deogratias Mutungi

Senior Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
140
Reaction score
181
Nawasalimu wana JF.

Kwa ufupi nagusia uvumi na maneno yanayosambazwa mitandaoni kuwa Mgombea wa CCM Dkt Magufuli amekataliwa Mkoani Kagera na wala hakubaliki hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, Nawajulisha kuwa utafiti uliopo unaonyesha wazi kuwa Mgombea wa CCM anakubalika kwa asilimia kubwa ambazo zitampa ushindi wa kishindo ndani ya Mkoa huo na viunga vyake, Magufuli hana sababu za kutokubalika, Kama ni Maendeleo ya watu na vitu yamefika kwa wanakagera, CCM na serikali ya awamu ya tano kamwe hawajawai kuwa bagua watu wa Kagera, nashauri tuache propaganda za kutumia utani wa Dkt Magufuli kufitinisha watu/Watanzania, tujenge hoja hasi za kunadi sera kwa msingi wa maendeleo ya taifa letu na si propaganda mgando, hazifai hata kidogo na ni kikwazo cha maendeleo.

Aidha hoja ya kutumia dhana ya tetemeko kujenga hoja za upotoshaji nashauri tuziweke pembeni na badala yake, tugeukie kumulika maendeleo ya sasa kwa mantiki ya miundo mbinu na vitu vingine baada ya tetemeko vimekaaje tuache chuki, ghiliba, upotoshaji na lawama kwa Magufuli badala yake tujikite kupima mazuri ya miaka mitano ya utawala wake na tuone kama anafaa kupewa nafasi ya uongozi tena au hafai, bila shaka wote tunatambua mazuri ya JPM kwa kipindi cha miaka mitano, hivyo basi myonge myongeni lakini haki yake mpeni. Kwa kuhitimisha andiko hili fupi ni kuwa Wana Kagera wana imani na Dkt Magufuli na wapo tayari kumtuma tena kwa kipindi cha miaka mingine mitano kwa sababu sifa, uwezo, utashi, hekima na ubunifu vyote anavyo ambavyo ndio nguzo ya uongozi bora na imara.
 
Chema chajiuza na kibaya chajitembeza. Waache wana Kagera waongee wenyewe ifikapo tarehe 28-10-2020. Kosa kubwa la makada wengi wa CCM wanaishi kwa kificho na kivuli cha mwamvuli wa sifa za kihistoria za Mwl. Nyerere.

Sifa ambazo hivi sasa viongozi wao hawana kabisa. Wao hudhani Watanzania wamebaki na mitizamo ile ile ya miaka ya 1980's na 1990's. Kumbukumbu kubwa iliyobakia vichwani mwa wananchi ni mavazi yao ya kijani yenye kukerehesha ambayo yanachusha mno pale mtu anapoyatazama.
 
Hizi tafiti mnazofanya mbona takwimu huwa hamuweki hadharani, na huwa mnafanyia wapi na saa ngapi, mnatumia nyenzo gani za tafiti zenu na walengwa wa hizo tafiti ni akina nani?!

Chama kimedoda, mlichobakiza ni propaganda, mabavu, uonevu na vitisho.

Mtulie kama kweli mnajiamini, fanyeni siasa safi, muache uchaguzi uwe huru na wa haki, halafu matokeo ya tafiti zenu mtayapata 28/10/2020

Msituendeshe endeshe, kuna mwenzenu huko mahala anakusanya bajaj zake alizohonga baada ya kuzikuta zimependeza na rangi dume za chama kikuu cha upinzani!
 
Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)

CCM imetufikisha hapa
Umesahau na pia ni taifa linaloongoza kuwa na watu wajinga wengi kuliko taifa lingine duniani na ujinga huu unasababishwa na ccm
 
Nawasalimu wana JF.

Kwa ufupi nagusia uvumi na maneno yanayosambazwa mitandaoni kuwa Mgombea wa CCM Dkt Magufuli amekataliwa Mkoani Kagera na wala hakubaliki hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, Nawajulisha kuwa utafiti uliopo unaonyesha wazi kuwa Mgombea wa CCM anakubalika kwa asilimia kubwa ambazo zitampa ushindi wa kishindo ndani ya Mkoa huo na viunga vyake, Magufuli hana sababu za kutokubalika, Kama ni Maendeleo ya watu na vitu yamefika kwa wanakagera, CCM na serikali ya awamu ya tano kamwe hawajawai kuwa bagua watu wa Kagera, nashauri tuache propaganda za kutumia utani wa Dkt Magufuli kufitinisha watu/Watanzania, tujenge hoja hasi za kunadi sera kwa msingi wa maendeleo ya taifa letu na si propaganda mgando, hazifai hata kidogo na ni kikwazo cha maendeleo.

Aidha hoja ya kutumia dhana ya tetemeko kujenga hoja za upotoshaji nashauri tuziweke pembeni na badala yake, tugeukie kumulika maendeleo ya sasa kwa mantiki ya miundo mbinu na vitu vingine baada ya tetemeko vimekaaje tuache chuki, ghiliba, upotoshaji na lawama kwa Magufuli badala yake tujikite kupima mazuri ya miaka mitano ya utawala wake na tuone kama anafaa kupewa nafasi ya uongozi tena au hafai, bila shaka wote tunatambua mazuri ya JPM kwa kipindi cha miaka mitano, hivyo basi myonge myongeni lakini haki yake mpeni. Kwa kuhitimisha andiko hili fupi ni kuwa Wana Kagera wana imani na Dkt Magufuli na wapo tayari kumtuma tena kwa kipindi cha miaka mingine mitano kwa sababu sifa, uwezo, utashi, hekima na ubunifu vyote anavyo ambavyo ndio nguzo ya uongozi bora na imara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana uliposema eti "Hekima"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nawasalimu wana JF.

Kwa ufupi nagusia uvumi na maneno yanayosambazwa mitandaoni kuwa Mgombea wa CCM Dkt Magufuli amekataliwa Mkoani Kagera na wala hakubaliki hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, Nawajulisha kuwa utafiti uliopo unaonyesha wazi kuwa Mgombea wa CCM anakubalika kwa asilimia kubwa ambazo zitampa ushindi wa kishindo ndani ya Mkoa huo na viunga vyake, Magufuli hana sababu za kutokubalika, Kama ni Maendeleo ya watu na vitu yamefika kwa wanakagera, CCM na serikali ya awamu ya tano kamwe hawajawai kuwa bagua watu wa Kagera, nashauri tuache propaganda za kutumia utani wa Dkt Magufuli kufitinisha watu/Watanzania, tujenge hoja hasi za kunadi sera kwa msingi wa maendeleo ya taifa letu na si propaganda mgando, hazifai hata kidogo na ni kikwazo cha maendeleo.

Aidha hoja ya kutumia dhana ya tetemeko kujenga hoja za upotoshaji nashauri tuziweke pembeni na badala yake, tugeukie kumulika maendeleo ya sasa kwa mantiki ya miundo mbinu na vitu vingine baada ya tetemeko vimekaaje tuache chuki, ghiliba, upotoshaji na lawama kwa Magufuli badala yake tujikite kupima mazuri ya miaka mitano ya utawala wake na tuone kama anafaa kupewa nafasi ya uongozi tena au hafai, bila shaka wote tunatambua mazuri ya JPM kwa kipindi cha miaka mitano, hivyo basi myonge myongeni lakini haki yake mpeni. Kwa kuhitimisha andiko hili fupi ni kuwa Wana Kagera wana imani na Dkt Magufuli na wapo tayari kumtuma tena kwa kipindi cha miaka mingine mitano kwa sababu sifa, uwezo, utashi, hekima na ubunifu vyote anavyo ambavyo ndio nguzo ya uongozi bora na imara.
Fedha za tetemeko umepewa matumizi yake? Tetemeko kagera, ukimwi kagera.
 
Jipe moyo
 
Back
Top Bottom