Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

Nenda kamuulize Gaddafi huko aliko yaliyomkuta!Alijiamini zaidi ya weww na hao unaowaabudu kama Mungu wako wa pili!Alitesa na kuua raia na vitisho juu,lakini watu walipochoka ndio hapo hata maadui wakaweza kutumia mwanya huo kuwapenyezea silaha walioasi!

Hilo ni funzo, kama Gaddafi amgekuwa anawatendea haki raia wake basi wasingekubali kutumika!

Hapa nchini zikianza choko choko,kuna watu wakipenyezewa silaha basi wanaweza kuwa tayari kuasi!

Tunayasema haya ili mjifunze na msijeifikisha nchi kubaya!Mnaodanganyana huko mliko mnaona mzaha tu!Hata mbuyu ulianza kama mchicha!

Pandikozeni chuki na matokeo ya chuki hizo mtaziona siku moja!
Kuna watu huwa hawajifunzi kwa mifano hadi yawakute.
 
Aliyekuwa humble katika kampeni za CCM alikuwa Mama Samia pekee,ila naye kaingia kwenye mkumbo alipotangaza kuwa askari wao wanapiga risasi si zaidi ya tatu kuua na hivyo waliomshambulia Mh.Lissu siyo wa kwao.Kaharibu sana image yake.
 
Uongozi hauko hivyo labda mtawala, ukichukulia hivyo utaumiza hata asiohusika, hata kama hawampendi unafikiri Bukoba yote hawatampigia Magufuli?

ukiona mkeo anasema mabaya juu ya lissu unajipa jukumu la kumshawishi amkubali,ila ukisikia anamsema vibaya magufuli unaita ni uhuru wa kikatiba.

lazima tuwe na utaratibu wa kuelezana ukweli wa madhara juu ya maamuzi ya kijinga watakayochukua watu wa karibu yetu,ili tupone.
 
Mgongwa mnyumbuliko kwa ubora wako mwaka huu mnalo na huu ni mwaka 2020 sio zama zile za miaka ya 80 watanzania wanajua mbivu na mbichi na tegemeo menu lilikuwa wajinga wengi ndio wawachague sasa hill halipo technologia inawaua na huko vijijini mnako tegemeaga watu wamesha bumburuka sasa
Lissu anafoka kila siku lakini unajifanya huoni, ha ha ha.
 
Mgongwa mnyumbuliko kwa ubora wako mwaka huu mnalo na huu ni mwaka 2020 sio zama zile za miaka ya 80 watanzania wanajua mbivu na mbichi na tegemeo menu lilikuwa wajinga wengi ndio wawachague sasa hill halipo technologia inawaua na huko vijijini mnako tegemeaga watu wamesha bumburuka sasa
Pumbavu zako, subiri 28 oktoba.
 
Nadhani hajamfokea mtu ila anausema ukweli....Zama za kupakana mafuta mwa mgongo wa chupa nadhani zilishapita
 
Nenda kamuulize Gaddafi huko aliko yaliyomkuta!Alijiamini zaidi ya weww na hao unaowaabudu kama Mungu wako wa pili!Alitesa na kuua raia na vitisho juu,lakini watu walipochoka ndio hapo hata maadui wakaweza kutumia mwanya huo kuwapenyezea silaha walioasi!

Hilo ni funzo, kama Gaddafi amgekuwa anawatendea haki raia wake basi wasingekubali kutumika!

Hapa nchini zikianza choko choko,kuna watu wakipenyezewa silaha basi wanaweza kuwa tayari kuasi!

Tunayasema haya ili mjifunze na msijeifikisha nchi kubaya!Mnaodanganyana huko mliko mnaona mzaha tu!Hata mbuyu ulianza kama mchicha!

Pandikozeni chuki na matokeo ya chuki hizo mtaziona siku moja!
Ifike mahali tuonee huruma na vizazi vijavyo,tusifanye masihara na watu ambao wana element za kutumiwa na mataifa ya nje
20200922_115145.jpg
 
Sudan imechafuka sababu ya ulafi wa madaraka. Kama unaona wanapa raha kuliko uliyonayo sasa hivi utapelekwa sudan wewe peke yako kama wale wa uamsho nk.

Msitake kuivuruga nchi kwa tamaa zenu za fisi.

Tamaa ya fisi ni huyo anayesema hata wasipomchagua atashinda sababu anadhani vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vinavyomchagua kuongoza nchi.
 
Tamaa ya fisi ni huyo anayesema hata wasipomchagua atashinda sababu anadhani vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vinavyomchagua kuongoza nchi.

tamaa ya fisi ni kuona hata nchi ikiingia machafuko sawa tu ilimradi mimi nitangazwe mshindi.

hii ni tone mbaya kabisa.
 
Mimi na wewe nani mpumbavu huu mwaka mnalo mlikuwa mkijifaliji eti upinzani umekufa upinzani ni imani mlojua kuwalumbuni wapinzani waje kwenu basi ndio mimemaliza kila kitu
Ccm haipendwi tu hata Leo aje lisu kwenu bado ccm itakuwa na hali ngumu alie anzisha hizi mambo kama alikula chenu mwambie aludishe tu
Pumbavu zako, subiri 28 oktoba.
 
Hii team ya uchaguzi ya mwaka huu ya Ccm kama man U tuu
 
Mwacheni aendelee kuwatisha ili akose kura.

Kwanini mnamuonya au nanyi mnamaslahi huko ccm?!

Akivurunda ndio furaha yetu, yanini kumsahihisha wakati huu?!
 
Back
Top Bottom