Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

Nimeona post moja anasema atapita tu hata watu wasipompigia kura, kwa kweli magu hatambui nguvu ya umma inaweza kufanya nini, tusubiri.
Anajua nguvu ya umma wa kibongo ni boya tu, wakitishiwa kipigo cha mbwa koko wanaufyata.
 
Kinatakacho cost CCM ni mgawanyiko. Kuna ambao hawakurahishwa na jinsi walivyokata majina yao. Asbh ni CCM jion upinzani. Hilo Bashiru kaliona ndo maana analalama.
 
Anajua nguvu ya umma wa kibongo ni boya tu, wakitishiwa kipigo cha mbwa koko wanaufyata.
Zama zimebadilika Nani wa kutisha hao watishaji ndo wamechoka balaa hawana hamu 5yrs bila bila.Walaumu upole wa wananchi ndo uwaangusha
 
Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura.

Mgombea wa CCM anadhani kupigiwa kura ni haki yake analazimisha, anawafokea wapiga kura na kuwatisha.

Naomba Magufuli ajifunze kwa watangulizi wake walivyo kuwa wanafanya kampeni, Mwinyi hakuwa hivyo, Mkapa pamoja na ubabe wake lkn alijishusha, Kikwete ndiyo kabisa hadi chini alikaa, si kwamba hawakuwa na mamlaka yote kama yake lkn walikuwa ‘humble’, walikuwa karibu na wapiga kura wao.

The meaning of campaign is to maximize the little you have, even a single vote counts.

Unapomfokea mpiga kura unapomtisha kuwa hutamletea maendeleo, maana yake ni nini, hata kama alikuwa amepanga kukupigia kura anaweza kusita, atajiuliza kama hata kabla ya kumpigia ananitisha namna hii, je nikishampigia na akiwa na uhakika wa kura yangu si ataniumiza zaidi.

Magufuli ajue kura ni siri, akumbuke wapiga kura ni wajumbe sio wa kuwaamini sana kwa 100%, leo wanaweza kukwambia tuko pamoja lakini siku ya trh 28 Oktoba wakakushangaza.
Mkuu wewe si ni mfuasi wa Lissu? Si ungekuwa unafurahi kwamba anapoteza kura na Lissu anaongeza? Au machale yamekucheza kuwa Magufuli anaongea kwa kujiamini as a real President!!??
 
Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura.

Mgombea wa CCM anadhani kupigiwa kura ni haki yake analazimisha, anawafokea wapiga kura na kuwatisha.

Naomba Magufuli ajifunze kwa watangulizi wake walivyo kuwa wanafanya kampeni, Mwinyi hakuwa hivyo, Mkapa pamoja na ubabe wake lkn alijishusha, Kikwete ndiyo kabisa hadi chini alikaa, si kwamba hawakuwa na mamlaka yote kama yake lkn walikuwa ‘humble’, walikuwa karibu na wapiga kura wao.

The meaning of campaign is to maximize the little you have, even a single vote counts.

Unapomfokea mpiga kura unapomtisha kuwa hutamletea maendeleo, maana yake ni nini, hata kama alikuwa amepanga kukupigia kura anaweza kusita, atajiuliza kama hata kabla ya kumpigia ananitisha namna hii, je nikishampigia na akiwa na uhakika wa kura yangu si ataniumiza zaidi.

Magufuli ajue kura ni siri, akumbuke wapiga kura ni wajumbe sio wa kuwaamini sana kwa 100%, leo wanaweza kukwambia tuko pamoja lakini siku ya trh 28 Oktoba wakakushangaza.
"Watanzania ,Wana cm tungane pamoja tarehe 28 oct, tuna Jambo letu.
 
Back
Top Bottom