Kuna watu huwa hawajifunzi kwa mifano hadi yawakute.Nenda kamuulize Gaddafi huko aliko yaliyomkuta!Alijiamini zaidi ya weww na hao unaowaabudu kama Mungu wako wa pili!Alitesa na kuua raia na vitisho juu,lakini watu walipochoka ndio hapo hata maadui wakaweza kutumia mwanya huo kuwapenyezea silaha walioasi!
Hilo ni funzo, kama Gaddafi amgekuwa anawatendea haki raia wake basi wasingekubali kutumika!
Hapa nchini zikianza choko choko,kuna watu wakipenyezewa silaha basi wanaweza kuwa tayari kuasi!
Tunayasema haya ili mjifunze na msijeifikisha nchi kubaya!Mnaodanganyana huko mliko mnaona mzaha tu!Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Pandikozeni chuki na matokeo ya chuki hizo mtaziona siku moja!
Uongozi hauko hivyo labda mtawala, ukichukulia hivyo utaumiza hata asiohusika, hata kama hawampendi unafikiri Bukoba yote hawatampigia Magufuli?
Lissu anafoka kila siku lakini unajifanya huoni, ha ha ha.
Lissu anafoka kila siku lakini unajifanya huoni, ha ha ha.
Pumbavu zako, subiri 28 oktoba.Mgongwa mnyumbuliko kwa ubora wako mwaka huu mnalo na huu ni mwaka 2020 sio zama zile za miaka ya 80 watanzania wanajua mbivu na mbichi na tegemeo menu lilikuwa wajinga wengi ndio wawachague sasa hill halipo technologia inawaua na huko vijijini mnako tegemeaga watu wamesha bumburuka sasa
Ifike mahali tuonee huruma na vizazi vijavyo,tusifanye masihara na watu ambao wana element za kutumiwa na mataifa ya njeNenda kamuulize Gaddafi huko aliko yaliyomkuta!Alijiamini zaidi ya weww na hao unaowaabudu kama Mungu wako wa pili!Alitesa na kuua raia na vitisho juu,lakini watu walipochoka ndio hapo hata maadui wakaweza kutumia mwanya huo kuwapenyezea silaha walioasi!
Hilo ni funzo, kama Gaddafi amgekuwa anawatendea haki raia wake basi wasingekubali kutumika!
Hapa nchini zikianza choko choko,kuna watu wakipenyezewa silaha basi wanaweza kuwa tayari kuasi!
Tunayasema haya ili mjifunze na msijeifikisha nchi kubaya!Mnaodanganyana huko mliko mnaona mzaha tu!Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Pandikozeni chuki na matokeo ya chuki hizo mtaziona siku moja!
Sudan imechafuka sababu ya ulafi wa madaraka. Kama unaona wanapa raha kuliko uliyonayo sasa hivi utapelekwa sudan wewe peke yako kama wale wa uamsho nk.
Msitake kuivuruga nchi kwa tamaa zenu za fisi.
Tamaa ya fisi ni huyo anayesema hata wasipomchagua atashinda sababu anadhani vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vinavyomchagua kuongoza nchi.
Kwa mazingira yaliyopo ni ndoto mkuuTime will tell, let us waiting and soon 'll witness the impossible under normal/unnormal circumstances.
Pumbavu zako, subiri 28 oktoba.
Kamanda uchwara utajibaraguza tu.
Magufuli ni mwalimu siyo mwanasheria. Lazima muelewe hilo
eeeh ila sio kwa lissu... ingekuwa anatumiwa ishu ya madini angekaa kimyaIfike mahali tuonee huruma na vizazi vijavyo,tusifanye masihara na watu ambao wana element za kutumiwa na mataifa ya njeView attachment 1576974
Mataga hawapendi kusikia haya
Katapeli mpka maskini halafu kwenye majukwaa anajiita rais ya maskini,pesa za vitambulisho kalaMagufuli ni mwalimu siyo mwanasheria. Lazima muelewe hilo